Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
[emoji3]Watanzania hawataki katiba mpya, wanataka maji, umeme, gesi, ajira!
Alisikika mlevi mmoja aliyelewa pombe ya kijani na vichaa kadhaa wanaojiita wanyonge wakamshangilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Watanzania hawataki katiba mpya, wanataka maji, umeme, gesi, ajira!
Alisikika mlevi mmoja aliyelewa pombe ya kijani na vichaa kadhaa wanaojiita wanyonge wakamshangilia.
Gas siyo basic need.sio kweli..
.
kuna vitu inakulazimu ufanye sio kwa sababu unavimudu bali ni kwa sababu ni basic need yani bila hivo maisha hayaendi.
Umewaza kitu kikubwa sana kwa muda mchache, na nina imani hili wazo lako lina umweli kwa asilimia 100.Dah,inaumiza sana kwakweli..sasa sijui wanataka turudi kwenye mkaa na kuni? Kuna wakati nawaza naona jinsi mambo yanavyoenda ni kama kuna ubaya unatengenezwa kwa nguvu ili mambo yazidi kuharibika.
Gas nayo inasaidia kwenye iyo need,umenunua unga je wataka nipikie kwenye kuni.......ama wewe unakaa kwa shemeji hujui umuhimu wa kuwa na gasGas siyo basic need.
Siku wabunge wakianza ishi maisha kama yetu ndipo watakuwa serious.Dah,inaumiza sana kwakweli..sasa sijui wanataka turudi kwenye mkaa na kuni? Kuna wakati nawaza naona jinsi mambo yanavyoenda ni kama kuna ubaya unatengenezwa kwa nguvu ili mambo yazidi kuharibika.
Mkuu wengine tunapikia UMEME gas ziada tu. Nilikuwa nikinunua gas NAONA hasara tu,nikatafuta msufuria wa umeme hautumii umeme mwingi, kila ninachotaka kupika nautumia huohuo Mkuu natumia 20 kwa mweziWatanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu ,gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Mbweha wewe mfanyakazi wa shamba boy wa bashiteMbweha ni wewe na mleta mada.
Mkuu hata kama ni mzaha hapa kwakweli unakosea. Na ni swala la kuwa muungwana na kujua muda upi ni wa masihara na upi wa kuwa serious.Tafuta hela wewe uache kulialia kama mbweha kwa vitu vidogo vidogo
Mkuu huko kwenye KUNI na MKAA ndo kubaya wanakamata balaaa! Hatuwaelewi sijui wanataka tupikie vifuuu au makaratasi?Dah,inaumiza sana kwakweli..sasa sijui wanataka turudi kwenye mkaa na kuni? Kuna wakati nawaza naona jinsi mambo yanavyoenda ni kama kuna ubaya unatengenezwa kwa nguvu ili mambo yazidi kuharibika.
Kwani samia ni Chagford la wananchi au la wafanyabiashara?Watanzania aliyetuloga sijui ni nani
Hawa jamaa wanaamua kutufanya wanavyotaka na hatuna la kuwafanya
Tozo, mafuta juu ,gas juu maji na umeme wa kuungaunga
Machinga ndiyo kama vile wametiwa hasara bila kujali
Kwa kifupi tu gas ya 22000 itauzwa 24000
Na ya 53000 itauzwa 58000
Nadhani hii imeanza leo au itaanza kesho kwa mitungi ya oryx
Wananchi tupo tu tunaona ewala
Kuna wakati najilaumu
Ukitaka kumjua mtanzania vizuri lete habari ya yanga au simba au watu waonewe katika nyanja hiyo ndiyo utajua hujui lakini kwenye habari za msingi zinazohusu maisha moja kwa moja hakuna anayejali
Bure kabisa kwa hiyo chakula(basic need) kinapikwa na nini au wewe ni sholo bwenzi mwendo wa matunda?Gas siyo basic need.
Hoja yangu IPO kwenye gharama ndogo. Pia nikuombe unisamehe Kwakuwa wiki hii yote hatujakatiwa mkuu nimesahau kama wenzetu wengine mna mgao.Kwa hiyo unataka kusemaje
Huo umeme wako una uhakika nao
WATANZANIA ni MATAJIRI SANA KAMA WAMEWEZA KUKUBALI KULIPA TOZO GAS ni cha MTOTO HATA IKIUZWA 100,000/= Kwa Mtungi Wataweza tuWatanzania aliyetuloga sijui ni nani