Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

Chaka lao la kukimbilia vitu vikipanda bei ni kwenye soko la dunia.

Hapo maana yake ni kwamba wamehalalisha bei ya gesi kuwa juu na hawatahangaika na suala hilo tena.

Yaani yale mahitaji muhimu na ya msingi kabisa ya watu kama vile sukari,mafuta ya kupikia,gesi,petroli,bidhaa za ujenzi,maji,umeme na kadhalika serikali ya CCM inahakikisha kuwa bei inakuwa juu au zinasumbua upatikanaji wake so that these dumb Tanzania citizens can be fu*k up nicely.

Taifa lenye wananchi wapumbavu kama Tanzania ni Taifa mfu na lenye laana amblo hata Mungu hawezi kutupa jicho lake huko.
 
Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.

Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.

Source: Swahili Times

Maendeleo hayana vyama!

Kwani gesi tunanunua kwenye soko la dunia?
 
Si ndio awa awa walianza hadi doria ya duka kwa duka kutafuta wanaopandisha gesi bei. Leo ewura wameridhia wapandishe kati ya hizo bei.

Sisiyemu ni maigizo sana, na sababu zao ni zile zile utasikia soko la dunia. Kwani majirani wao ilo soko la dunia wananunua wapi?.
 
Hata mafuta ya kula tuliambiwa ivyo.

Sasa sijajua na mawese ya kigoma, alizeti ya singida, na ufuta wa iringa na makambako navyo yalipanda Bei kwenye soko la duniani?
Hao hawuni tu, yaani imekuwa kama soko la dunia ndio chaka lao la kujifichia madhaifu yao!!mfano leo hii mfuko wa mbolea umefikia 120, 000 , wakati mbolea hiyo hiyo zambia/malawi mbolea hiyo hiyo inauzwa 60, 000!!!na zote zinatoka huko huko nje?!!wenzao wanatoa ruzuku ili kumpunguzia mwananchi mzigo, hapa lawama zote anapewa SOKO LA DUNIA.
 
Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.

Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.

Source: Swahili Times

Maendeleo hayana vyama!
Yaan hii nchi Ni Kama haina mwenyewe, kila 1 anaamua anavyo taka yy, wapandishe tu mpka mtungi wa 15kg ufike 100,000/= Kwanza wao hawana Cha kupotezea kila kitu wanaletewa nyumban, sisi huku tupambane na hali zetu..
 
Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.

Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.

Source: Swahili Times

Maendeleo hayana vyama!
Kuna gesi ya mtwara lakini
 
Back
Top Bottom