Kelvin X
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,940
- 2,401
Kama ni mjuzi kwani hii ya kwenye mtungi si LNG au? Nieleweshe mimi sio mtaalamKwa mawazo yangu lakini.
Labda niongezee ujuzi kidogo maana hapa ndio nyumbani kwa wajuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni mjuzi kwani hii ya kwenye mtungi si LNG au? Nieleweshe mimi sio mtaalamKwa mawazo yangu lakini.
Labda niongezee ujuzi kidogo maana hapa ndio nyumbani kwa wajuzi.
Na mimi nimeomba kuongezewa ujuzi hapoKama ni mjuzi kwani hii ya kwenye mtungi si LNG au? Nieleweshe mimi sio mtaalam
Baadae utawasikia, kufikia mwaka 2025 tutapiga marufuku matumizi ya mkaa na kuni ili kulinda mazingira. Huyo ni bwana J.Makamba.Soko la dunia linahusika vipi na Gas inayochimbwa Tanzania?
LPG tunayotumia haizalishwi TzSoko la dunia linahusika vipi na Gas inayochimbwa Tanzania?
Hiyo gas wanaitoa nchi gani mpaka kukapelekea mlipuko wa bei kwenye soko la dunia??Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Chanzo: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Nchi ngumu hiiTuliambiwa mabomba ya gesi yataingia mpaka ndani ya nyumba sambamba na mabomba ya maji, sijui huko Upanga yamefika maana huku Kisiju ndo baaaasi tena.
Hii ndo kazi wanayoiweza hawana cha kufanya intervationEwura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Chanzo: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Soko la dunia linahusika vipi na Gas inayochimbwa Tanzania?
Kwa mawazo yako gesi iki chimbwa ina wekwa tu kwenye mitungi.
Labda wanapeleka Kwanza ndo wanarudishaSoko la dunia linahusika vipi na Gas inayochimbwa Tanzania?
Hii nchi Ina baadhi ya Viongozi ni wa Ovyo sanaHao hawuni tu, yaani imekuwa kama soko la dunia ndio chaka lao la kujifichia madhaifu yao!!mfano leo hii mfuko wa mbolea umefikia 120, 000 , wakati mbolea hiyo hiyo zambia/malawi mbolea hiyo hiyo inauzwa 60, 000!!!na zote zinatoka huko huko nje?!!wenzao wanatoa ruzuku ili kumpunguzia mwananchi mzigo, hapa lawama zote anapewa SOKO LA DUNIA.
Unapandisha bei ya bidhaa muhimu kwa zaidi ya miaka 5 mfulilizo lkn mishahara na masla mengine hayarekebishwi huo si ungwana hata kidogo.Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Chanzo: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
----------------
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani.
Mpaka Sasa serikali 0% hakuna kitu apoEwura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Chanzo: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
----------------
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi
Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini zipandishe bei na kwa kiwango gani.
Hao hawuni tu, yaani imekuwa kama soko la dunia ndio chaka lao la kujifichia madhaifu yao!!mfano leo hii mfuko wa mbolea umefikia 120, 000 , wakati mbolea hiyo hiyo zambia/malawi mbolea hiyo hiyo inauzwa 60, 000!!!na zote zinatoka huko huko nje?!!wenzao wanatoa ruzuku ili kumpunguzia mwananchi mzigo, hapa lawama zote anapewa SOKO LA DUNIA.Hata mafuta ya kula tuliambiwa ivyo.
Sasa sijajua na mawese ya kigoma, alizeti ya singida, na ufuta wa iringa na makambako navyo yalipanda Bei kwenye soko la duniani?
Pamoja na sisi wananchi!!!Hii nchi Ina baadhi ya Viongozi ni wa Ovyo sana