Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua mwenyewe?Mtwara kuna Gas ila mbona tunafanyiwa ukatili wa rasilimali zetu.
Rasimali siyo zenu. Ccm walishawagawia Wazungu kitamboMtwara kuna Gas ila mbona tunafanyiwa ukatili wa rasilimali zetu.
Nani alikwambia gesi ya mtwara ndio inayotumika sasa kwenye matumizi ya kawaida(haya ya kwenye mitungi)inayouzwa nchini kote?na hata itakapokuwa tayari kwa ajiri ya kuwekwa kwenye mitungi , hakuna mabadiriko yoyote yale kwani gesi sio yetu hiyo.Mtwara kuna Gas ila mbona tunafanyiwa ukatili wa rasilimali zetu.
Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Source: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mawazo yako gesi iki chimbwa ina wekwa tu kwenye mitungi.Mtwara kuna Gas ila mbona tunafanyiwa ukatili wa rasilimali zetu.
Tuliambiwa mabomba ya gesi yataingia mpaka ndani ya nyumba sambamba na mabomba ya maji, sijui huko Upanga yamefika maana huku Kisiju ndo baaaasi tena.Hivi ile ya Mtwara iliishia wapi?
Hao hawuni tu, yaani imekuwa kama soko la dunia ndio chaka lao la kujifichia madhaifu yao!!mfano leo hii mfuko wa mbolea umefikia 120, 000 , wakati mbolea hiyo hiyo zambia/malawi mbolea hiyo hiyo inauzwa 60, 000!!!na zote zinatoka huko huko nje?!!wenzao wanatoa ruzuku ili kumpunguzia mwananchi mzigo, hapa lawama zote anapewa SOKO LA DUNIA.Hata mafuta ya kula tuliambiwa ivyo.
Sasa sijajua na mawese ya kigoma, alizeti ya singida, na ufuta wa iringa na makambako navyo yalipanda Bei kwenye soko la duniani?
Yaan hii nchi Ni Kama haina mwenyewe, kila 1 anaamua anavyo taka yy, wapandishe tu mpka mtungi wa 15kg ufike 100,000/= Kwanza wao hawana Cha kupotezea kila kitu wanaletewa nyumban, sisi huku tupambane na hali zetu..Ewura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Source: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Kuna gesi ya mtwara lakiniEwura imetangaza kupanda kwa bei ya gesi za kupikia kulikosababishwa na ongezeko la bei kwenye soko la dunia.
Bei itaongezeka kwa Tsh 2000 hadi 5000 kulingana na ujazo wa mtungi.
Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.
Source: Swahili Times
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mawazo yangu lakini.Kwa mawazo yako gesi iki chimbwa ina wekwa tu kwenye mitungi.