EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

kwahiyo we kenge unatetetea ufichwaji wa mafuta? hivi unafahamu watu tumeximikiwa magari mainroad huko tukitafuta mafuta. acha kuuza mafuta fanya biashara ya chips shenzi
 
Sikutegemea kama jf inawajinga namna hii, hii ni Aibu
we mwelewa sijui kama unajua hujui kwamba kufungua au kutokufungua duka ni moja ya haki ya mfanyabiashara...siyo LAZIMA KUFUNGUA KILA SIKU JOMBAA
 
Hahaha EWURA shikilia hapo hapo hakuna kucheka na kima.Umeomba Leseni kwajili ya kuuza mafuta na si vinginevyo. Ukishindwa rudisha kwa wenyewe tu
 
Hahaha EWURA shikilia hapo hapo hakuna kucheka na kima.Umeomba Leseni kwajili ya kuuza mafuta na si vinginevyo. Ukishindwa rudisha kwa wenyewe tu
Umesikia ushauri wa spika leo wewe!? muwage mnapiga kwa kutumia akili
 
kwahiyo we kenge unatetetea ufichwaji wa mafuta? hivi unafahamu watu tumeximikiwa magari mainroad huko tukitafuta mafuta. acha kuuza mafuta fanya biashara ya chips shenzi
Spika ameagiza ifanyike tathimin uagizaji wa mafuta wewe uko busy kushupaza shingo..kulaumu wachuuzi!

usichokijua mzigo hubalance soko automatically
 
Ulichukua lesseni ya nn kama hutaki kuuza?

Dawa yenu inachemka.
 
Ulichukua lesseni ya nn kama hutaki kuuza?

Dawa yenu inachemka.
katafte maoni bunge leo kuhusu mafuta, huwezi control soko kwa kufungia watu walio jipa likizo!
NASISITIZA MUDA WA KUFUNGA AU KUFUNGUA HATAKIWI KUHOJIWA MFANYA BIASHARA; Ni hiari yake!
Ukitaka kumudu kama inchi Iangali namna ya kubadilisha utaratibu wa Importers ...HAWA NDIYO SUMU siyo huku kwa wachuuzi
 
Ulichukua lesseni ya nn kama hutaki kuuza?

Dawa yenu inachemka.
NAMNA na kucontrol soko la mafuta siyo kufungia ambayo wamejipata likizo . INGEKUWA MIMI MD EWURA
1. Ningeishauri wizara turuhusu vituo vingi vya gesi vijengwe kuliko kukataza kama ilivyo sasa HAWARUHUSU kwa manufaa ya nani
2. kanuni za kuagiza mafuta Importers ningebadilisha
3. ningeishauri serikali ipunguze baadhi ya kodi kwenye mafuta

MAFUTA YAKIWA MENGI HAKUNA MFANYABIASHARA ATARINGA KUUZA!

kuwafungia wanaoringa kuuza nikuuingilia uhuru wa kucheka au kununa ambao ni haki ya binadam
 
Kiukweli wafanya biashara wa Mafuta MNAKERA,..Bora wawafungie tu mxiuuuuu!😏
 
Huduma ya kijamii kabisa alafu ujitakie namna ya kuwahudumia wananchi?

Ninachokijua biashara yoyote unayolipia kodi au huduma inayotambulika na taasisi za kiserikali kama unafunga au kusitisha hyo huduma kwa namna yoyote ile,ni lazima utoe taarifa kwenye mamlaka husika.

Kwa mfano,kutoa taarifa TRA,ili muda wa kulipa kodi ukifika wajue au mfumo ukutoe kwenye mlolongo kama mlipa kodi lakini usilete huruma eti kisa kampuni ndyo zinajitafuta kwahyo wamekosea kuzifungia,hyo ni hapana kwasababu kabla ya kufunga biashara yako kwasababu ya changamoto yoyote lazima mamlaka zinazohusika zipewe taarifa!!!.
 
Siyo lazima kufungua, wafanyakazi wanaweza kuwa kwenye mgomo sitakiwi kuwajishwa
 
UNAONGEA KITU GANI! yaani siku sijisikii kufungua nimepumzika kwa imani yangu au dhalula au mashart yangu binafsi ya kimizimu nikawajulishe TRA kwamba leo sifungui?
Hivi watu kama nyie mulishawahi fanya biashara yoyote kweli?

Sijui ni nani alipitisha huu utaratibu wa ajira kwa wajinga kusimamia welevu
 
Tunafanya biashara ndyo maana na masharti tunayajua,halafu huwa kuna matukio kama hayo ya kuto fungua biashara kwa hali kama hii watu wanategemea mpaka bei ipande ndyo wafungue biashara inajulikana kwahyo hata ujitetee vipi lazima utawajibishwa tu
 
Wawafungie kabisa ni wajinga sana. Wanamgombanisha Dkt Samia na wapiga kura. Ni wajinga sana watu wa mafuta.
 
Wawafungie kabisa ni wajinga sana. Wanamgombanisha Dkt Samia na wapiga kura. Ni wajinga sana watu wa mafuta.
mbona wakifunga wanafungua ....wathubutu kufunga kwa documrnt wapelekwe mahakamni walipe fidia!

wanafunga kwa propaganda za mudomo tu kama tishio..hata wao wanajua mtu kutokufungua siyo kosa ni hiari yake!
kama wanaweza wafungie kituo na barua tuione ya kufunga wakaithibitishe mahakamani.
ujue mmezoea kuishi kwa vitisho wakati tunaongozwa kwa sheria
 
Kwanza wewe ni murundi rudi kwenyu
 
Hyo point ya kutouzia toyota umenistua sana....
 
Hyo point ya kutouzia toyota umenistua sana....
ni mbinu tu za kubrand ..biashara ..nauzia benzi, Bmw, Vwagon,Nissan n.k
Wenye Toyota pita hivi...in rose voice!

halafu anakuja mtu kukufungia kwa kosa gani? Wafanyabiashara wangijitambua tusingepelekeshwa Wakileta barua ya kufunga tunawaburuza mahakan wakathibitishe ...dharula yangu ya kutokufungua inaniwajiibishaje kunifungia biashara, kwa sheria gani!

Ndiyo maaana wakifunga wanapiga blaa blaa tu ...mbona zimefunguliwa zinauza kamakawaida?
NI KWASABABU KUTOKUFUNGUA SIYO KOSA NI HAKI YA MNYABIASHARA cha msingi havunji sheria ya usalama na ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…