EWURA: Nchi ina hifadhi ya Mafuta inayojitosheleza, Petrol inatosha kwa siku 19 na Diesel siku 18

Huyo bila shaka Hana akili au anatufanya wananchi hatuna akili na ni wajinga..

Kama yapo ya kutosha iweje sasa kuna maeneo ya nchi hayana nishati hii kwa zaidi ya wiki 4 na kule ambako yanapatikana bei iko juu kuliko kawaida..!

Hawa viongozi wetu Wana shida gani kwenye vichwa vyao??
Huyu ni wa kufukuzwa kazi tu
 
Ndio alivyokuwambia kuwa anafuata maelekezo? Huku ni kukwepa kuwajibuka tusitafute visongizio
Yaezekana una ugeni na siasa za Taifa la Tanzania!! Bongo ili jambo la kikundi flan liende hua ni mwendo wa maelekezo tu!! NB: Hakuna utaratib wa kuwajibika kwa viongoz wa Tanzania, ukivurunda unatolewa hapa unapelekwa pale. Ukifisad kule unatolewa unapelekwa pale!!!
 
Kwamba rais ndio anawatuma wafanyabiashara wasiuze mafuta?
 
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta

Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---

View attachment 2738849
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.

Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.

Source: Jambo TV
Muhuni tu huyo
 
siku 18 kwa 19 bado sana.. kuna siku hii nchis magari yote yatapaki watu watembee kutoka chalinze hadi posta au watatumia baiskeri
 
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta

Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---

View attachment 2738849
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.

Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.

Source: Jambo TV
Acheni kutoa siri za mwelekeo wa bei ya nafuta kila ikikaribia mwanzo wa mwezi.EWURA ndio mnao tutesa
 
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta

Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---

View attachment 2738849
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.

Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.

Source: Jambo TV
Mapenzi kazini
 
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18

Hii nchi ni kimeo kweli...

Mungu epushilia mbali, hivi hii reserve ikitokea ghafla vita tutaweza hata kuwa na dharura ya mafuta kwa jeshi!!!
 
Humu JF kila mtu anajifanya anajua zaidi kweli huu mtandao ni NOMA kuanzia mapenzi,siasa,uchumi,Sana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom