Huyu ni wa kufukuzwa kazi tuHuyo bila shaka Hana akili au anatufanya wananchi hatuna akili na ni wajinga..
Kama yapo ya kutosha iweje sasa kuna maeneo ya nchi hayana nishati hii kwa zaidi ya wiki 4 na kule ambako yanapatikana bei iko juu kuliko kawaida..!
Hawa viongozi wetu Wana shida gani kwenye vichwa vyao??
Hilo sio jipu bali anafuata maelekezo!! Ni mwendo wa maelekezo mdogo wang!!Atueleze kwanini vituoni hakuna mafuta kama yapo ya kutosha? Huyu ni jipu huyu atumbuliwe.
Ndio alivyokuwambia kuwa anafuata maelekezo? Huku ni kukwepa kuwajibuka tusitafute visongizioHilo sio jipu bali anafuata maelekezo!! Ni mwendo wa maelekezo mdogo wang!!
Najua wanyakyusa wana viburi sana ila ajiangalie awe makini sanaUnamjua Lakini?😂🌟
Yaezekana una ugeni na siasa za Taifa la Tanzania!! Bongo ili jambo la kikundi flan liende hua ni mwendo wa maelekezo tu!! NB: Hakuna utaratib wa kuwajibika kwa viongoz wa Tanzania, ukivurunda unatolewa hapa unapelekwa pale. Ukifisad kule unatolewa unapelekwa pale!!!Ndio alivyokuwambia kuwa anafuata maelekezo? Huku ni kukwepa kuwajibuka tusitafute visongizio
Kwamba rais ndio anawatuma wafanyabiashara wasiuze mafuta?Yaezekana una ugeni na siasa za Taifa la Tanzania!! Bongo ili jambo la kikundi flan liende hua ni mwendo wa maelekezo tu!! NB: Hakuna utaratib wa kuwajibika kwa viongoz wa Tanzania, ukivurunda unatolewa hapa unapelekwa pale. Ukifisad kule unatolewa unapelekwa pale!!!
Muhuni tu huyoMkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.
Source: Jambo TV
siku 18 kwa 19 bado sana.. kuna siku hii nchis magari yote yatapaki watu watembee kutoka chalinze hadi posta au watatumia baiskeriMkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.
Source: Jambo TV
Sijasem hiki unachosema!!Kwamba rais ndio anawatuma wafanyabiashara wasiuze mafuta?
Acheni kutoa siri za mwelekeo wa bei ya nafuta kila ikikaribia mwanzo wa mwezi.EWURA ndio mnao tutesaMkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.
Source: Jambo TV
Hata mm limeniwazisha hili jambo,mm nilitegemea aseme ipo akiba ya miezi kadhaa mbele.....Sijasikia vizuri amesema siku 19 au miezi 19 maana ukiwa chini ya miezi 4 mpaka sita Tayari unakuwa na shortage sasa unapokuja hadharani na kusema kuhusu siku dah inafikirisha sana
Hiyo akiba yy miezi kadhaa utahifadhia wapi?Hata mm limeniwazisha hili jambo,mm nilitegemea aseme ipo akiba ya miezi kadhaa mbele.....
Mapenzi kaziniMkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---
Mamlaka ya udhibiti wa Nishati nchini Tanzania (EWURA) imekifungia kituo vya MATEMBA kilichoko Tuliani na CAMEL OIL kilichopo Msamvu Mkoani Morogoro kwa kipindi cha miezi sita kujihusisha na Biashara ya uuzaji mafuta kwa kile ambacho EWURA imedai ni kwenda kinyume na taratibu zinazoendesha Biashara ya mafuta.
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile amesema Nchi ina hifadhi inayojitosheleza kwa Nishati ya mafuta ambapo amesema kwa upande wa Petrol nchi ina akiba ya Nishati hiyo ya kutumika kwa siku 19 na upande wa Diesel Nchi ina akiba ya kutumika kwa siku 18 hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa Nishati hiyo.
Source: Jambo TV
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18
Baiskeli nazo zinaenda kupanda bei wallahsiku 18 kwa 19 bado sana.. kuna siku hii nchis magari yote yatapaki watu watembee kutoka chalinze hadi posta au watatumia baiskeri