Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Viongozi hawa unajikuta unatamani kuwatukana ila shetani anazuia
Wewe ndo huna akili mkuu.. fuatilia habari vizuriHuyo bila shaka Hana akili au anatufanya wananchi hatuna akili na ni wajinga..
Kama yapo ya kutosha iweje sasa kuna maeneo ya nchi hayana nishati hii kwa zaidi ya wiki 4 na kule ambako yanapatikana bei iko juu kuliko kawaida..!
Hawa viongozi wetu Wana shida gani kwenye vichwa vyao??
Mkuu!Sijasikia vizuri amesema siku 19 au miezi 19 maana ukiwa chini ya miezi 4 mpaka sita Tayari unakuwa na shortage sasa unapokuja hadharani na kusema kuhusu siku dah inafikirisha sana
Kazi iliyopo ni moja tu, mama kumtumbua Majaliwa au ajiudhuru; huyo ndio credible candidate serikalini aliebaki inayofanya baadhi ya wananchi wawe na imani na serikali ya huyu mama.Kazi ipo huku Tz.
Kazi tunayo.
Tatizo ni kuagiza kwa pamoja (PBPA) na kukokotoa bei kila mwezi (EWURA).Ufanyike uchunguzi, wote wanaofanya market manipulation wafungiwe maisha!!!
Nadhani tungekuwa na mifano kama 3 hivi kuhusu hii kufungiwa kwa hivi vituo walau wangetia akiliAnasema Camel oil Msamvu imefungiwa bila kutoa sababu?
Kama tulivyokuwa na ghala la taifa nadhani ni wakati pia tuwe na hifadhi ya taifa ya nishati ya mafuta na dawa za binadamu za kutuendesha hata mwaka basi kwa uchache miezi 6 bila kuagiza nje ili wakati wa shortage la sivyo kuna siku our existence itakuwa mashakani kama yakitokea kama ya covid kwa kiwango kikubwa na pia tuwajengee uwezo sekta binafsi uwezo tupunguze hizi importation, uganda wana crude oil ni wakati wa kutumia fursa ya kujenga au kupata investor kwa ajili ya oil refinery halafu tukawauzie hao hao wanaozalisha crude.Sijasikia vizuri amesema siku 19 au miezi 19 maana ukiwa chini ya miezi 4 mpaka sita Tayari unakuwa na shortage sasa unapokuja hadharani na kusema kuhusu siku dah inafikirisha sana
Kuna haja gani ya kumjua MTU Kama huyu.Unamjua Lakini?😂🌟
Hakuna sababu ya kutangaza takwimu kama hizi kiusalama.View attachment 2739153
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati (EWURA) Dkt. James Andilile amesema hayo na kufafanua kuwa Petrol iliyopo inatosheleza matumizi ya siku 19 na Dizeli ipo ya kutumika kwa siku 18.
Aidha, EWURA imevifungia kwa miezi 6 Vituo 2 vya Mafuta ambavyo ni Camel Oil na Mtemba vilivyopo Msamvu na Turiani Morogoro huku Kituo GBP cha Ipuli Tabora kikifungiwa kwa muda usiojulikana baada ya kutuhumiwa kuficha Mafuta.
Takwimu za Mahitaji ya Mafuta Nchini zinaonesha Tanzania inatumia Lita Milioni 4.5 za Petroli kwa siku na Dizeli Lita Milioni 6.6 kwa siku.
Halafu kwa nini viongozi wengi anaowateua ni kama hawajali chochote, Imani kwa serikali inazidi kushuka, ila hawarekebishi chochote na yeye bado anawaamini sana.Kazi iliyopo ni moja tu, mama kumtumbua Majaliwa au ajiudhuru; huyo ndio credible candidate serikalini aliebaki inayofanya baadhi ya wananchi wawe na imani na serikali ya huyu mama.
Nakuhakikishia Majaliwa akitoka hapo CCM moto watauona.
Mimi namwambia ‘bi Tozo’ kama ana amini anakubalika amtoe Majaliwa kwenye hiyo nafasi; halafu tuone.
Political leadership is about trust na Majaliwa ndio mtu pekee aliebaki hapo wananchi wanamwamini.
I dare raisi Samia, J.K, Kinana na washauri wengine wa ‘bi tozo’ wamtoe Majaliwa kwenye nafasi yake tuone huu mziki. Itakuwa kazi rahisi sana kwa CDM.
Ndio wataelewa meaning of trust in leadership; Samia, baraza lake la mawaziri na uongozi wa CCM hawana. Majaliwa ndio anawabeba.
Hawaamini hilo wamtoe hapo au ajiudhuru kuliko kuletewa dharau za kupewa naibu kama vile kashindwa kazi wakati yeye ndio anawabeba.
January Makamba pamoja na mapungufu yake ya ufisadi ana quality za leadership (particularly listening skills).Kama tulivyokuwa na ghala la taifa nadhani ni wakati pia tuwe na hifadhi ya taifa ya nishati ya mafuta na dawa za binadamu za kutuendesha hata mwaka basi kwa uchache miezi 6 bila kuagiza nje ili wakati wa shortage la sivyo kuna siku our existence itakuwa mashakani kama yakitokea kama ya covid kwa kiwango kikubwa na pia tuwajengee uwezo sekta binafsi uwezo tupunguze hizi importation, uganda wana crude oil ni wakati wa kutumia fursa ya kujenga au kupata investor kwa ajili ya oil refinery halafu tukawauzie hao hao wanaozalisha crude.
Ndio maana nikasema amtoe Majaliwa hapo hii ngoma inogole.Halafu kwa nini viongozi wengi anaowateua ni kama hawajali chochote, Imani kwa serikali inazidi kushuka, ila hawarekebishi chochote na yeye bado anawaamini sana.
Hii ni hatari.04 September 2023
Serengeti, Mara
Tanzania
Serengeti wahaha kutafuta mafuta
View: https://m.youtube.com/watch?v=78AJgGcK130
Ndugu yangu nchi hiyo, matatizo ya mafuta, kati ya wanufaika wengi, wa mchezo huo, ndo viongozi serikalini na pia wanatokea kuwa na hisa ktk makampuni ya biashara hiyo ya mafuta, hivyo haya mambo aisee, mkubali tu yaishe.....Ufanyike uchunguzi, wote wanaofanya market manipulation wafungiwe maisha!!!