EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

Maneno tu haya. Yashasemwa Sana. Tangu 2015 wakati Lowasa anahamia chadema wengi walisema ndiyo mwisho wa ccm lkn mpk leo inadunda

ndio maana mwishoni nimesema
mabavu
 
Sisi Watanzania ni Malalamiko FC. Wakubwa wanajua hili.Ndio maana wanatuchezea watakavyo. Hao Ewura wauza Mafuta ndio wanawafanya wabadilishe Mboga hapa mjini.
 
Zambia, Malawi, na Kenya wamebadili vyama na katiba. Wana nn cha ajabu??

Labda useme tuwarejeshe wazungu waje watutawale. Lkn hao wa vyama pinzani ndiyo Yale Yale tu
Matokeo ya Kuibadili CCM yatakua MAZURI zaidi ya Nchi hizo. Ni HAKI ya WENYENCHI kufanya mabadiliko. Tutakirudisha baada ya miaka 200 kama kitakuwepo hai Bado😠😠😠😠😠
 
Serikali yoyote inayojali raia wake wangefanya jambo kupunguza makali Kwa mfano Kenya wameweka ruzuku sisi wala hakuna haja ya ya ruzuku ni kuondoa baadhi ya kodi kwenye mafuta ambayo kimsingi haina maana zaidi ya washenzi wachache kuiba
 
Kwa jinsi mama anavyoupiga mwingi kwenye Tozo, Mpaka July 2022 mwaka mpya wa fedha, lita moja itakuwa 5000
 
waseme tuu kwa Mara moja Kuwa Lt ni Tsh 8000 tuzoee kwa Mara moja….

BodaBoda, Bajaji, Daladala Zikipandisha bei wanazivaaa na kusema zinawachonganisha Serikali na Wananchi Nchi ngumu sana hii
 
Mada yako ilikuwa nzuri lkn ulipotaja jina la jiwe tu ukaiharibu. Hakuna uhusiano wowote wa kuongezeka kwa bei ya mafuta na kubadilika kwa kiti cha urais. Unless Kama una elements za sukuma gang ndiyo utaona hivyo.

Kupanda kwa bei ya mafuta ni global crisis, usilete siasa na vitisho vya kijinga katika Hilo.

Bei zitaenelea kupanda na hakuna kitakchotokea. Wala ninyi sukuma gang hamtafanya kitu
Sasa angekuwa Sukuma gang-angetumia neno Rais jeuri??
 
Zambia, Malawi, na Kenya wamebadili vyama na katiba. Wana nn cha ajabu??

Labda useme tuwarejeshe wazungu waje watutawale. Lkn hao wa vyama pinzani ndiyo Yale Yale tu
Sasa uchumi wa Kenya utaulnganisha na wetu???,wakenya wanaenda kutuzidi uchumi karibu Mara 2.
Zambia na Malawi ni Nchi ndogo sana kijografia na hata ki-resources-hao wangekuwa na Natural resources kama tulizonazo sisi wangekuwa mbali sana.
 
Zambia, Malawi, na Kenya wamebadili vyama na katiba. Wana nn cha ajabu??

Labda useme tuwarejeshe wazungu waje watutawale. Lkn hao wa vyama pinzani ndiyo Yale Yale tu
Huko Malawi ambako upinzani umechukua nchi kwa tabu Sana, mtu kashtakiwa kwa kumuongelea vibaya rais kwenye group la Whatsapp.

Hawa wapinzani wakishika nchi wanaweza kuwa wabaya kuliko hata hii CCM.
 
Back
Top Bottom