Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
KUMB: PPR/2020 - 06/1
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI
KUANZIA JUMATANO, TAREHE 3 JUNI 2020
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Juni 2020. Pamoja na kutambua bei hizo, ni muhimu kuzingatia yafuatayo:-
(a) Bei za jumla na rejareja za mafuta ya Petroli na Dizeli yaliyopokelewa nchini kupitia bandari ya Dar es Salaam zimepungua ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 6 Mei 2020. Bei za Mafuta ya Taa zitaendelea kuwa zile zilizotangazwa katika toleo lililopita la tarehe 6 Mei 2020 kwani hakuna shehena ya mafuta hayo iliyopokelewa mwezi Mei 2020 kupitia bandari ya Dar es Salaam. Kwa mwezi Juni 2020, bei za rejareja za Petroli na Dizeli zimepungua kwa Shilingi 348/lita (sawa na asilimia 18.65) na Shilingi 300/lita (sawa na asilimia 16.25), mtawalia. Vilevile, ikilinganishwa na toleo la mwezi uliopita, bei za jumla za Petroli na Dizeli zimepungua kwa Shilingi 347.40/lita (sawa na asilimia 19.93) na Shilingi 299.05/lita (sawa na asilimia 17.38), mtawalia.
(b) Kwa mwezi Juni 2020, bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa kwa Mikoa ya Kaskazini (Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara) hazina mabadiliko na zitaendelea kuwa zile zilizotangazwa katika toleo lililopita la tarehe 6 Mei 2020. Hii ni kwasababu, kwa mwezi Mei 2020, hakuna shehena ya mafuta iliyopokelewa nchini kupitia bandari ya Tanga.
(c) Kwa mwezi Juni 2020, bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya Petroli katika Mikoa ya Kusini (yaani Mtwara, Lindi na Ruvuma) hazitabadilika ikilinganishwa na toleo lililopita la tarehe 6 Mei 2020 kutokana na kuwa hakuna shehena ya Petroli iliyopokelewa kupitia bandari ya Mtwara. Hata hivyo, bei za mafuta ya Dizeli zimepungua ikilinganishwa na toleo la mwezi uliopita. Kwa mwezi Juni 2020, bei za jumla na rejareja za Dizeli zimepungua kwa Shilingi 425/lita (sawa na asilimia 19.45) na Shilingi 423.24/lita (sawa na asilimia 20.58), mtawalia. Kwa kuwa hakuna Mafuta ya Taa katika bandari ya Mtwara, wamiliki wa vituo vya mafuta katika mikoa tajwa wanashauriwa kununua mafuta hayo kutoka Dar es Salaam na hivyo bei za rejareja za Mafuta ya Taa kwa mikoa hiyo zinatokana na gharama za mafuta hayo kutokea Dar es Salaam na kusafirishwa hadi mkoa husika.
(d) Mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la ndani yanatokana na mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia na gharama za usafirishaji (BPS Premium) kama inavyoonekana katika Jedwali C na Jedwali D.
(e) EWURA inapenda kuukumbusha umma kwamba bei kikomo za mafuta kwa eneo husika, zinapatikana pia kupitia simu za mkononi kwa kupiga namba *152*00# na kisha kufuata maelekezo. Huduma hii ni bure na inapatikana kupitia mitandao yote ya simu za mkononi hapa nchini.
(f) Kwa mujibu wa Sheria ya Mafuta ya mwaka 2015, bei za bidhaa za mafuta ya petroli zitaendelea kupangwa na soko. EWURA itaendelea kuhamasisha ushindani kwa kutoa taarifa za bei kikomo za bidhaa za mafuta. Taarifa hizi zina lengo la kuwasaidia wadau kufanya maamuzi stahiki kuhusu manunuzi ya bidhaa za mafuta.
(g) Kampuni za mafuta ziko huru kuuza bidhaa za mafuta ya petroli kwa bei ya ushindani mradi tu bei hizo zisivuke bei kikomo (price cap) kama ilivyokokotolewa na kanuni (formula) iliyopitishwa na EWURA na ambayo ilichapishwa katika Gazeti la Serikali Na. 74 la tarehe 7 Februari 2020.
(h) Vituo vyote vya mafuta vinatakiwa kuchapisha bei za bidhaa za mafuta katika mabango yanayoonekana bayana na yakionesha bei ya mafuta, punguzo, vivutio vya biashara au promosheni zinazotolewa na kituo husika. Pale ambapo inawezekana kuchagua, wateja wanashauriwa kununua bidhaa za mafuta katika vituo vinavyouza mafuta kwa bei nafuu zaidi ili kushamirisha ushindani. Ni kosa kuuza mafuta bila kuweka mabango ya bei inayoonekana vizuri kwa wateja. Adhabu kali itatolewa kwa kituo husika kwa kutotekeleza matakwa ya kisheria kwa mujibu wa kanuni husika.
(i) Wauzaji wa mafuta ya petroli wanatakiwa kutoa risiti za mauzo kutoka kwenye mashine za EFPP (Electronic Fiscal Pump Printers) na Wanunuzi wahakikishe wanapata stakabadhi hizo za malipo zinazoonyesha jina la kituo, tarehe, aina ya mafuta yaliyonunuliwa na bei kwa lita. Stakabadhi hizo za malipo zitatumika kama kidhibiti kwa wanunuzi wa mafuta endapo kutajitokeza malalamiko ya aidha kuuziwa mafuta kwa bei ya juu kuliko bei kikomo au kuuziwa mafuta yasiyo na kiwango cha ubora kinachofaa, na pia, risiti hizo zitasaidia kurahisisha ukusanyaji wa kodi za Serikali zitokanazo na mauzo ya mafuta ya petroli.
JEDWALI A: BEI ZA REJAREJA
Mji Bei Kikomo
Petroli (Shs/Lita) Dizeli (Shs/Lita) Mafuta Ya Taa (Shs/Lita)
Dar es Salaam 1,520 1,546 1,568
Arusha 1,711 1,750 2,044
Arumeru (Usa River) 1,711 1,750 2,044
Karatu 1,729 1,768 2,062
Longido 1,722 1,761 2,055
Monduli 1,716 1,755 2,049
Monduli-Makuyuni 1,721 1,760 2,054
Ngorongoro (Loliondo) 1,795 1,834 2,128
Pwani (Kibaha) 1,524 1,551 1,572
Bagamoyo 1,531 1,557 1,579
Bagamoyo (Miono) 1,562 1,588 1,610
Chalinze Junction 1,534 1,561 1,582
Chalinze (Msata) 1,538 1,565 1,586
Kibiti 1,540 1,567 1,588
Kisarawe 1,527 1,553 1,575
Mkuranga 1,530 1,556 1,578
Rufiji 1,547 1,574 1,595
Dodoma 1,579 1,605 1,627
Bahi 1,586 1,612 1,634
Chamwino 1,574 1,600 1,622
Chemba 1,605 1,632 1,653
Kondoa 1,611 1,638 1,659
Kongwa 1,576 1,602 1,624
Mpwapwa 1,580 1,606 1,628
Mtera (Makatopora) 1,598 1,624 1,646
Geita 1,685 1,712 1,733
Bukombe 1,674 1,701 1,722
Chato 1,706 1,733 1,754
Mbogwe 1,723 1,750 1,771
Nyang'hwale 1,700 1,727 1,748
Iringa 1,584 1,610 1,632
Ismani 1,589 1,616 1,637
Kilolo 1,588 1,615 1,636
Mufindi (Mafinga) 1,594 1,621 1,642
Mufindi (Igowole) 1,603 1,629 1,651
Kagera (Bukoba) 1,735 1,762 1,783
Biharamulo 1,710 1,736 1,758
Karagwe (Kayanga) 1,752 1,778 1,800
Kyerwa (Ruberwa) 1,758 1,784 1,806
Muleba 1,735 1,762 1,783
Ngara 1,723 1,750 1,771
Misenyi 1,744 1,770 1,792
Katavi (Mpanda) 1,728 1,754 1,776
Mlele (Inyonga) 1,747 1,774 1,795
Mpimbwe (Majimoto) 1,721 1,747 1,769
Tanganyika (Ikola) 1,746 1,772 1,794
Kigoma 1,751 1,778 1,799
Uvinza (Lugufu) 1,764 1,790 1,812
Buhigwe 1,740 1,767 1,788
Kakonko 1,708 1,735 1,756
Kasulu 1,737 1,764 1,785
Kibondo 1,716 1,742 1,764
Kilimanjaro (Moshi) 1,700 1,739 2,033
Hai (Bomang'ombe) 1,704 1,743 2,037
Mwanga 1,693 1,732 2,027
Rombo (Mkuu) 1,717 1,756 2,050
Same 1,687 1,726 2,020
Siha (Sanya Juu) 1,707 1,746 2,040
Lindi 2,152 1,771 1,627
Lindi-Mtama 2,157 1,776 1,645
Kilwa Masoko 2,176 1,795 1,602
Liwale 2,188 1,807 1,648
Nachingwea 2,172 1,791 1,656
Ruangwa 2,178 1,798 1,658
Manyara (Babati) 1,745 1,784 2,078
Hanang (Katesh) 1,755 1,794 2,088
Kiteto (Kibaya) 1,760 1,799 2,093
Mbulu 1,758 1,797 2,091
Simanjiro (Orkasumet) 1,777 1,816 2,110
Mara (Musoma) 1,698 1,725 1,746
Musoma Vijijini (Busekela) 1,739 1,766 1,787
Rorya (Ingirijuu) 1,707 1,734 1,755
Rorya (Shirati) 1,742 1,769 1,790
Bunda 1,690 1,716 1,738
Bunda (Kisorya) 1,699 1,726 1,747
Butiama 1,695 1,722 1,743
Serengeti (Mugumu) 1,744 1,771 1,792
Tarime 1,710 1,736 1,758
Tarime (Kewanja/Nyamongo) 1,714 1,741 1,762
Mbeya 1,627 1,653 1,675
Chunya 1,637 1,663 1,685
Chunya (Makongolosi) 1,651 1,677 1,699
Kyela 1,643 1,669 1,691
Mbarali (Rujewa) 1,611 1,638 1,659
Rungwe (Tukuyu) 1,636 1,662 1,684
Morogoro 1,545 1,571 1,593
Mikumi 1,560 1,587 1,608
Kilombero (Ifakara) 1,583 1,609 1,631
Kilombero (Mlimba) 1,605 1,632 1,653
Kilombero (Mngeta) 1,594 1,621 1,642
Ulanga (Mahenge) 1,593 1,620 1,641
Malinyi 1,604 1,630 1,652
Kilosa 1,563 1,590 1,611
Gairo 1,563 1,590 1,611
Mvomero (Wami Sokoine) 1,555 1,582 1,603
Mvomero (Sanga Sanga) 1,545 1,571 1,593
Turiani 1,570 1,596 1,618
Mtwara 2,138 1,758 1,640
Nanyumbu (Mangaka) 2,175 1,794 1,689
Masasi 2,155 1,774 1,666
Newala 2,159 1,779 1,672
Tandahimba 2,152 1,772 1,665
Nanyamba 2,152 1,772 1,665
Mwanza 1,670 1,697 1,718
Kwimba 1,688 1,714 1,736
Magu 1,678 1,705 1,726
Misungwi 1,664 1,691 1,712
Sengerema 1,702 1,729 1,750
Ukerewe 1,730 1,756 1,778
Njombe 1,612 1,639 1,660
Njombe (Kidegembye) 1,633 1,659 1,681
Ludewa 1,650 1,677 1,698
Makambako 1,605 1,631 1,653
Makete 1,643 1,670 1,691
Wanging'ombe (Igwachanya) 1,610 1,637 1,658
Rukwa (Sumbawanga) 1,693 1,719 1,741
Sumbawanga Rural (Mtowisa) 1,693 1,719 1,741
Kalambo (Matai) 1,700 1,727 1,748
Nkasi (Namanyele) 1,706 1,733 1,754
Ruvuma (Songea) 2,224 1,843 1,691
Mbinga 2,237 1,856 1,725
Namtumbo 2,215 1,834 1,721
Nyasa (Mbamba Bay) 2,262 1,881 1,735
Tunduru 2,189 1,809 1,750
Shinyanga 1,649 1,675 1,697
Kahama 1,662 1,689 1,710
Kishapu 1,677 1,704 1,725
Ushetu (Nyamilangano) 1,680 1,707 1,728
Simiyu (Bariadi) 1,690 1,717 1,738
Busega (Nyashimo) 1,683 1,710 1,731
Itilima (Lagangabilili) 1,693 1,720 1,741
Maswa 1,682 1,708 1,730
Meatu (Mwanhuzi) 1,689 1,715 1,737
Singida 1,611 1,637 1,659
Iramba 1,623 1,649 1,671
Manyoni 1,595 1,622 1,643
Ikungi 1,606 1,633 1,654
Mkalama (Nduguti) 1,635 1,662 1,683
Songwe (Vwawa) 1,636 1,663 1,684
Songwe (Mkwajuni) 1,643 1,670 1,691
Ileje 1,640 1,667 1,688
Momba (Chitete) 1,645 1,672 1,693
Tunduma 1,640 1,667 1,688
Tabora 1,674 1,701 1,722
Igunga 1,628 1,655 1,676
Kaliua 1,693 1,720 1,741
Ulyankulu 1,687 1,714 1,735
Nzega 1,639 1,665 1,687
Sikonge 1,686 1,712 1,734
Urambo 1,687 1,714 1,735
Uyui 1,675 1,702 1,723
Tanga 1,654 1,693 1,987
Handeni 1,675 1,714 2,008
Kilindi 1,690 1,729 2,023
Korogwe 1,666 1,705 1,999
Lushoto 1,676 1,715 2,009
Mkinga (Maramba) 1,661 1,700 1,994
Muheza 1,659 1,698 1,992
Pangani 1,661 1,700 1,994
JEDWALI B: BEI ZA JUMLA
Petroli (Shs/Lita) Dizeli (Shs/Lita) Mafuta ya Taa (Shs/Lita)
DAR ES SALAAM 1,395.96 1,422.01 1,444.08
TANGA 1,529.75 1,568.28 1,862.19
MTWARA 2,012.68 1,632.91 -
JEDWALI C: SABABU ZA MABADILIKO YA BEI ZA MAFUTA KATIKA SOKO LA
NDANI
Bandari Petroli Dizeli Mafuta ya Taa
DAR ES SALAAM Mabadiliko ya Bei za mafuta katika soko la dunia Punguzo la Dola 182.876/Tani Punguzo la Dola 152.983/Tani N/A
Mabadiliko ya
gharama za usafirishaji (BPS premiums) Punguzo la Dola
11.958/Tani Ongezeko la Dola
3.747/Tani N/A
TANGA Mabadiliko ya Bei za mafuta katika soko la dunia N/A N/A N/A
Mabadiliko ya
gharama za usafirishaji (BPS premiums) N/A N/A N/A
MTWARA Mabadiliko ya Bei za mafuta katika soko la dunia N/A Punguzo la Dola 243.244/Tani N/A
Mabadiliko ya
gharama za usafirishaji (BPS premiums) N/A Ongezeko la Dola
0.320/Tani N/A
JEDWALI D: MWEZI HUSIKA WA BEI ZA MAFUTA KATIKA SOKO LA DUNIA
Aina ya Mafuta Shehena ya Mafuta Ilipokelewa Mwezi: Mwezi husika wa
Bei za Soko la
Dunia zilizotumika mwezi huu: Mwezi husika wa
Bei za Soko la
Dunia zilizotumika mwezi uliopita:
DAR ES SALAAM Petroli Mei 2020 Aprili 2020 Machi 2020
Dizeli Mei 2020 Aprili 2020 Machi 2020
Mafuta ya Taa Aprili 2020 Machi 2020 Februari 2020
TANGA
Petroli
Aprili 2020
Machi 2020
Februari 2020
Dizeli Aprili 2020 Machi 2020 Februari 2020
Mafuta ya Taa Machi 2020 Februari 2020 Juni 2019
Aina ya Mafuta Shehena ya Mafuta Ilipokelewa Mwezi: Mwezi husika wa
Bei za Soko la
Dunia zilizotumika mwezi huu: Mwezi husika wa
Bei za Soko la
Dunia zilizotumika mwezi uliopita:
MTWARA Petroli Machi 2020 Februari 2020 Januari 2020
Dizeli Aprili 2020 Machi 2020 Januari 2020
Mafuta ya Taa N/A N/A N/A
Mhandisi Godfrey H. Chibulunje
KAIMU MKURUGENZI MKUU EWURA