EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

Da saizi wenye ma crown na magari yenye cc 3000 na zaidi wana enjoy sana
Crown (royal) v.6
Haili mafuta. Mimi nikisafiri kati ya arusha na dom natumia mafuta ya 100,000. Ilikuwa sawa na lt.47 Pana km 430.

Ukitembea vzr kuna muda crown inakusomea km 18/lt.
 
Magari hayajazoea full tank jamaniii
Hii%20wataalam%20wa%20Maabara%20%40bootism%20wanaita%20%E2%80%9CLeo%20ndio%20Leo%E2%80%9D%20_s...jpg
 
Kipindi cha jk mwanzoni ilikua lita sh 500 mafuta yalikua yanatengenewa Tiper pale kigamboni badae mahalamia yakauza ile mitambo wakaanza kuhifadhi tu mafuta kwenye yale mafuta toka nje ya nchi. I wish magufuli atuludishe kule kwenye kununua crude oil tusafishe wenyewe bei itashuka
Wazo lako tumelipokea..
 
20200603_170750.jpg

Mfano wa jedwali bei elekezi ya petrol na disel

Rais Magufuli amezidi kuthibitisha ile kauli yake ya uchumi wa viwanda kwa vitendo safari hii kupitia Ewura amegeukia mafuta sasa ni sawa na bure

Boda boda katika taharuki na furaha wamemshangilia Rais Magufuli wakimuita kwa lugha za vijana MAGUFULI BABA LAO

Katika utafiti wangu kwa Nchi za Africa mashariki na kati ni Tanzania pekee iliyoamua kushusha bei ya mafuta

Baadhi ya Wataalamu wa uchumi wanasema hii ni moja ya faida ya Nchi kutokuwekwa lockdown

Pia tunaomba serkali itoe bei elekezi kwa vyombo vya usafiri wa umma

Kwa wale walevi wa kuendesha tumieni hii neema aliyotoa Rais Magufuli kutembelea mikoa mbali mbali kwani mafuta imekuwa rahisi sana

Awamu ya tano inaacha alama kuelekea uchumi wa kati
 
View attachment 1467767

Analojua huyo ni kuteka, kutesa na kupiga risasi wapinzani.
 
Magufuli kashusha mafuta au bei ya mafuta imeporomoka dunia nzima? Unatia aibu wee mzee!
Kwa bei ilivyo kwenye soko la dunia bado mnawanyonya wananchi na hiyo 1,700 yenu.
 
Ili wasichakachue dizel

Sheria ipo kwa ajili gani? Yani hii excuse ni ya kipuuzi na watu hapo EWURA na vyombo vingine vya serikali wanakubali kabisa kuwaumiza wananchi masikini kwa kuwauzia mafuta ya taa wananchi kwa bei ghali ili kudhibiti wanaochakachua diesel?

Wakaguzi wa ubora wa mafuta wanafanya kazi gani? Wanazunguka na viti maofisini tu!? Kwanini wasiwanyang`anye na kuwafutia leseni wote wanaochakachua hiyo diesel tuone kama watarudia huo upuuzi?
 
Duuu sisi wa Songea! Balaa ni kama hakuna kilichoshushwa kwa nini tusichukue mafuta yanayoshushwa Dar badala ya yanayoshushwa Mtwara maana naona haya ya Mtwara yapo juu mnoo! Tofauti ya sh 600+ kubwa sanaa
Huku sio Tanzania tuwe wapole tu
 
View attachment 1467767

Mfano wa jedwali bei elekezi ya petrol na disel

Rais Magufuli amezidi kuthibitisha ile kauli yake ya uchumi wa viwanda kwa vitendo safari hii kupitia Ewura amegeukia mafuta sasa ni sawa na bure

Boda boda katika taharuki na furaha wamemshangilia Rais Magufuli wakimuita kwa lugha za vijana MAGUFULI BABA LAO

Katika utafiti wangu kwa Nchi za Africa mashariki na kati ni Tanzania pekee iliyoamua kushusha bei ya mafuta

Baadhi ya Wataalamu wa uchumi wanasema hii ni moja ya faida ya Nchi kutokuwekwa lockdown

Pia tunaomba serkali itoe bei elekezi kwa vyombo vya usafiri wa umma

Kwa wale walevi wa kuendesha tumieni hii neema aliyotoa Rais Magufuli kutembelea mikoa mbali mbali kwani mafuta imekuwa rahisi sana

Awamu ya tano inaacha alama kuelekea uchumi wa kati
Kwenye hizi bei Mh. Rais anaingiaje hapo? Kweli kabisa umewaza au unataka likes, au unajitoa ufahamu, au hujui? Au ndio kusifu na kuabudu?
 
Back
Top Bottom