EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

Mafuta inatakiwa yashuke zaidi ya hapo maana huko soko la Dunia bei iliyopo ni ya mwaka 1990 na Nchi nyingi yameshuka zaidi ya hapa ni sisi tuu tunakomaa nayo wakati hayana thamani kubwa kipindi hiki yanashuka mara nne huku tunashusha mara moja tu.

Toka mwezi wa pili mpaka mwezi huu ni kushuka bei tuuu...Iran wanetafuta soko huko Venezuela walikowekewa vikwazo bidhaa imeshuka thamani huku mnakomaa nayo tuu
 
Mafuta inatakiwa yashuke zaidi ya hapo maana huko soko la Dunia bei iliyopo ni ya mwaka 1990 na Nchi nyingi yameshuka zaidi ya hapa ni sisi tuu tunakomaa nayo wakati hayana thamani kubwa kipindi hiki yanashuka mara nne huku tunashusha mara moja tuu...toka mwezi wa pili mpaka mwezi huu ni kushuka bei tuuu...Iran wanetafuta soko huko Venezuela walikowekewa vikwazo bidhaa imeshuka thamani huku mnakomaa nayo tuu
Washusheeeeeeeeeee....wasituletee mizengwe wakati mafuta kwenye soko la dunia ni bei sawa na bure. Kuna makampuni yanalipwa pesa ili kuyaondoa mafuta yaliyozidi kutokana na mashine zinazozalisha mafuta kutotakiwa kusimamisha uzalishaji.
 
Duuu sisi wa Songea! Balaa ni kama hakuna kilichoshushwa kwa nini tusichukue mafuta yanayoshushwa Dar badala ya yanayoshushwa Mtwara maana naona haya ya Mtwara yapo juu mnoo! Tofauti ya sh 600+ kubwa sanaa
 
Kipindi cha jk mwanzoni ilikua lita sh 500 mafuta yalikua yanatengenewa Tiper pale kigamboni badae mahalamia yakauza ile mitambo wakaanza kuhifadhi tu mafuta kwenye yale mafuta toka nje ya nchi. I wish magufuli atuludishe kule kwenye kununua crude oil tusafishe wenyewe bei itashuka
Mafuta gani hayo ya taa au Petrol?
1990 nakumbuka ni wakati wa Ali Hassan Mwinyi Petrol ilikuwa 990/ bei ikakimbilia 1,200/ usafiri Chai maharage 5/ Dodoma Dar Super star, Yarabi Salama, Zainab nk 2,500/
 
Mshindwe kuendesha magari yenu sasa, buku kumi unapata lita sita na kitu, dah!!
 
Hapa kuna sheli ya lake oil maeneo ya bunju wanauza petrol 1860.....serikali waangazie
 
Mafuta gani hayo ya taa au Petrol?
1990 nakumbuka ni wakati wa Ali Hassan Mwinyi Petrol ilikuwa 990/ bei ikakimbilia 1,200/ usafiri Chai maharage 5/ Dodoma Dar Super star, Yarabi Salama, Zainab nk 2,500/
mkuu 2003 nimenunua petrol sh 500
 
Bei za asante COVID-19, bei ya CRUDE OIL kwenye soko la dunia iliporomoka SANA..

Kuna watu watasema ni juhudi za kina fulani!

Everyday is Saturday........................ 😎
 
Back
Top Bottom