EWURA yatangaza bei kikomo mpya ya mafuta ya Petroli

Wapi huko bei haijashuka mkuu?

Niko safarini mkuu nimeona kahama, na singida bei ziko juu ya zilizomo kwenye majedwali ya ewura. Nitaangalia pia Moro lakini so far ngoma iko pale pale.

Labda haya ya bei kuanguka kama athari chanya za Corona hayahusu wanamme wa mikoani?
 
Niko safarini mkuu nimeona kahama, na singida bei ziko juu ya zilizomo kwenye majedwali ya ewura. Nitaangalia pia Moro lakini so far ngoma iko pale pale.

Labda haya ya bei kuanguka kama athari chanya za Corona hayahusu mwanamme wa mikoani?
Fika Daslam mkuu utie wese la 1546 mkuu
 
Fika Daslam mkuu utie wese la 1546 mkuu

Dunia katika lockdown mafuta yamekuwa siyo dili tena kwani usafiri umekuwa ground to a halt.

Jambo la maana kuwa ewura imefahamu kuwa ni muhimu utendaji wao ukazingatia hali halisi duniani:

US oil prices turn negative as demand dries up

Kiuhalisia yalipaswa kushuka zaidi ya hapa na tokea around Feb. Angalia hata sasa huku mikoani ngoma bado inadunda.
 
Duuu sisi wa Songea! Balaa ni kama hakuna kilichoshushwa kwa nini tusichukue mafuta yanayoshushwa Dar badala ya yanayoshushwa Mtwara maana naona haya ya Mtwara yapo juu mnoo! Tofauti ya sh 600+ kubwa sanaa
Nimejaribu kuwaza hapa nimekosa majibu, hakuna haja ya kuchukua mafuta ntwara wakati tunaumia parefu mnoo
 
Bei za asante COVID-19, bei ya CRUDE OIL kwenye soko la dunia iliporomoka SANA..

Kuna watu watasema ni juhudi za kina fulani!

Everyday is Saturday........................ 😎

Hahaha. Wanakuja Mkuu ...
 
Magari ya wengi yalikuwa yakiuuwa pump sababu ya uchakachuzi na dizel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…