EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

Magufuli angeenda kupigana Huko ukraine?

Huyo unayemuita mwamba alikuta sukari Chini ya 2000 akaipandisha bei mpaka karibia 3000 haku kuwa na Vita wala Tatizo lolote,

Mazao ya wakulima kama mbaazi yakashuka mpaka kilo 200 watu wamemsusia.

Akaenda Korosho zao aliloliacha Kikwete kama dhahabu linaingizia Nchi mabilioni ya Hela akaliharibu haribu watu wakamsusia.

Tumbaku na Vitu kibao aliharibu.

Tatizo la Watanzania uwezo wenu wa kukumbuka ni siku 5 tu nyuma.
 
Hii bei ya Sasa ya mafuta imepanda sababu ya Vita Ukraine? Naomba mjadala hapa
 
mama kaupiga mwingi hongera mama kwa mafuta kupanda. weww umemshinda jpm sasa hivi pesa zipo mafuta ya kula bei poa
 
Huyo unayemuita mwamba alikuta sukari Chini ya 2000 akaipandisha bei mpaka karibia 3000 haku kuwa na Vita wala Tatizo lolote,
Kama ulivyosema, hatukumbuki zaidi ya siku 5, ili sasa usionekane una-take advantage ya tatizo letu, ebu tuambie kwa namba kama UNAKUMBUKA, kuwa mwaka fulani bei ya sukari ilikuwa hii, na mwaka uliofuata ikawa hii kisha tuone kama kweli huyo Mwamba anasifiwa bure tu!

Kuna sukari ilimwaga mtoni, mliita KK sio? Ulikuwa utawala wa nani?
 

Watanzania wengi ni wajinga

Alichokilenga Hayati Magufuli ni kutaka kufanya Nchi ijitegemee Kwa Sukari.

Ni ujinga mkubwa kua na Nchi yenye vyanzo vya maji ,Ardhi ya Kutosha, Alafu hata Sukari Tuagize.

Kwa hivo kwanza Hayati akazuia uingizaji wa Sukari Toka nje, ili kutengeneza soko la wazalishaji wa Ndani, lkn pia Hayati akaanza harakati za uwekezaji na utiaji mkono kwenye uzalishaji wa Sukari

Kwa kuzuia kwake Sukari Toka nje, kulitengeneza Upungufu Fulani ivi ambao ulilazimisha Bei ya Sukari Kupanda.


Kosa la JPM hapa ni lipi????... Uchina Kuna wakati walilazimika kuteseka Kwa faida ya vizazi vya miaka 20 mbele .
 
Uongozi wa hii nchi ushakuwa kero....ukiwasikiliza kazi yao ni kujitetea. Rais asijifanye anatoa ruzuku ya mafuta aache tu maana hana anachosaidia. Mara nyingi vitu vya urithi mpaka uharibikiwe tu. Hopeless leadership.
 
Sasa kwanini uzuie Sukari kutoka nje wakati iliopo nchini haitoshelezi.??

Au bwana mkubwa alitaka tuteseke kwanza kwa kunywa uji bila sukari.
 
Wewe juha si ulikua unampigia makofi putin au. Unadhani ya yeye kuleta ubabe ni ipi kama sio mafuta kupanda,,,,nitajie nchi moja mafuta hayajapanda pimbi maji kweli weee
Unajua bado nahisi wengi ni kama hamtaki kutumia akili zenu
Huyo angekuwa hampigii makofi Putin ndio Vita ingeisha?? Un na US wamemuwekea Hadi vikwazo Putin, vipi Vita imeisha?

Alafu Bei kwenye soko la dunia kwa sasa imeshuka, kwa nn huku mafuta yapande?
 
Wewe juha si ulikua unampigia makofi putin au. Unadhani ya yeye kuleta ubabe ni ipi kama sio mafuta kupanda,,,,nitajie nchi moja mafuta hayajapanda pimbi maji kweli weee
Wewe mbw* koko mbona umekuja na mayowe!!! Angalie usije ukajikwaa.
 
UPUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…