Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Alikuwa hafai hata kidogoHata kuleta Discipline Magufuli alijitahidi, na kukusanya pesa.
Ila Magu alikuwa akitafuta pesa kwa Akili ya CCM na genge lake, budget muhimu muhimu kama Afya na Elimu zilitupwa huko.
Kama Mtu alikuwa Ana Guts za kupunguza Bajeti hadi ya Elimu unategemea atamsaidia Masikini kujikwamua na Majanga?
Nimesema wasukuma wangu...sijamaanisha mimi msukumaKwani kubadili kabila uwe mzanzibar ni bei gani jaribu huko utalamba asali.
Labda nicheki na wakwereSasa hivi ni kipindi cha kujenga urafiki wa karibu na Wazanzibari aka wa Pemba, Wasukuma tupa kule kwa Sasa, ukiwakosa Wapemba angalu tafuta Wakwere wa Chalinze kidogo Mambo yako yanaweza nyooka vizuri!!
Tushukuru kwa kipi sasa, watashukuru wasiokuwa na vyombo vya moto na wale bendera fata upepo.[emoji120][emoji120][emoji120] tushukuru kwa hiki, SRI LANKA hawana kabisa hayo mafuta ya kununua hata kwa Lita buku 10.
Fuatilieni taarifa za kimataifa mjionee athari za ule mzozo.
Ushabiki maandazi huu, umendika kindezi mno, chuki na vitu kibao. Ujinga mzigo.Si huwa tunawaambia hakuna Rais hapa na mnabisha. Rais huwa hapimwi kwa kuvaa suti na kupanda ndege, Rais hupimwa kwa changamoto anazopitia na response yake na mikakati endelevu. Huwezi beba mtu mwenye elimu haieleweki imepatikaje, timeline na mtiririko wake havieleweki ukampachika cheo kutimiza usawa wa kijinsia kisha ukampa nafasi ya juu ya nchi "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" ukatarajia maajabu. Sanasana akiweza ni kusoma hotuba anayoandikiwa, kuigiza jambo ambalo hata Ebitoke anaweza na kusafiri.
India inanunua mafuta bei nafuu kutoka Urusi na inauza tena soko la dunia, inanunua pia makaa ya mawe kwao. China inanunua gesi nafuu kwao. Tanzania haiwezi nunua kwa Urusi kwa sababu HAINA AKILI, nchi nzima ni vilaza watupu. Nchi zenye akili huwezi ongoza bila maono ukabaki. Ujerumani na nchi kibao za Ulaya zinanunua gesi Urusi, anayesema hatuwezi nunua kwao kisa sanctions mbona hao wazungu walioweka sanctions bado energy sources wananunua uko na isitoshe nishati haina sanctions kivile. Sanasana tatizo hapa ni SWIFT ya kufanyia malipo, ila mbona India wanalipa kwa njia mbadala. Hapa ndio akili zinatakiwa kuwa na alternatives.
Nenda Urusi agiza mafuta subiri tankers zije. Mambo ya vibari na mikataba ndio tujue umuhimu wa kuwa na mikataba inayotupa advantage
Huyo jamaa ni KICHAA apuuzwe.Kwaiyo pro NATO na wewe sahivi unataka tukanunue mafuta ya baei rahisi kwa urusi,[emoji16]
Kuna wakati yanashuka yanamkuta na shehena mkuuDuh, aisee.
Wafanyabishara wa mafuta wanapata faida kubwa sana.
Fikiria jamaa aliekua na shehena ya mwezi ya hadi leo, kesho ana bei mpya kabisa anapiga hela.
Ndugu yangu hata usipoaamini, wenye Nchi wameamua iwe hivyo na itakuwa hivyo! Labda Mungu aingilie Kati!!siasa ni takataka walahi...kwa hiyo wew unaamini hayo mambo ya ruzuku??
Si mpaka wadau waikubali na kuanzisha mchakato watu watumieDawa ni Gas asili tu,
Kabisa mkuu!Si huwa tunawaambia hakuna Rais hapa na mnabisha. Rais huwa hapimwi kwa kuvaa suti na kupanda ndege, Rais hupimwa kwa changamoto anazopitia na response yake na mikakati endelevu. Huwezi beba mtu mwenye elimu haieleweki imepatikaje, timeline na mtiririko wake havieleweki ukampachika cheo kutimiza usawa wa kijinsia kisha ukampa nafasi ya juu ya nchi "kwa kudra za Mwenyezi Mungu" ukatarajia maajabu. Sanasana akiweza ni kusoma hotuba anayoandikiwa, kuigiza jambo ambalo hata Ebitoke anaweza na kusafiri.
India inanunua mafuta bei nafuu kutoka Urusi na inauza tena soko la dunia, inanunua pia makaa ya mawe kwao. China inanunua gesi nafuu kwao. Tanzania haiwezi nunua kwa Urusi kwa sababu HAINA AKILI, nchi nzima ni vilaza watupu. Nchi zenye akili huwezi ongoza bila maono ukabaki. Ujerumani na nchi kibao za Ulaya zinanunua gesi Urusi, anayesema hatuwezi nunua kwao kisa sanctions mbona hao wazungu walioweka sanctions bado energy sources wananunua uko na isitoshe nishati haina sanctions kivile. Sanasana tatizo hapa ni SWIFT ya kufanyia malipo, ila mbona India wanalipa kwa njia mbadala. Hapa ndio akili zinatakiwa kuwa na alternatives.
Nenda Urusi agiza mafuta subiri tankers zije. Mambo ya vibari na mikataba ndio tujue umuhimu wa kuwa na mikataba inayotupa advantage
Anae faa ni nani?Alikuwa hafai hta kidogo
π π πMungu aingilie kati tenaa wakati sisi tunaonesha tumekubaliana na haliNdg yangu hata usipoaamini,wenye Nchi wameamua iwe hivyo na itakua hivyo! Labda Mungu aingilie Kati!!
Naona umetumia sanduku lako la kubebea meno umebwabwaja umemalizaUshabiki maandazi huu, umendika kindezi mno, chuki na vitu kibao. Ujinga mzigo.
India kuna wenye maisha magumu wengi sio kama Finland au Poland. Kwanini Ujerumani inunue gesi Urusi ila sisi tusinunue mafuta kwao. Kwanini wanataka Urusi isizuie nafaka kusafirishwa, na ikileta za kwake wananunua. Vita ni yao sisi haituhusuKabisa mkuu!
.
Na india angekaza fuvu kwa kufuatisha mabeberu kama hizi tahira zetu, raia wa india wangechoma ikulu.
Hizo bei kabla ya Ruzuku zilikuwa wapiKwani hujasoma hilo jedwali la bei za mafuta! Wameandika bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku, kwahiyo unaweza kuona kama wasingepewa hela za ruzuku mafuta yangeuzwaje!?