EWURA yatangaza bei mpya za mafuta

Waliposema wanaongeza kodi kwenye mafuta ili wajenge bara bara walichemka mno...wamedumaza maendeleo Nchi nyingi wanapigana ili kupunguza bei ya mafuta ili kupunguza gharama za uendeshaji na kupanda kwa bidhaa wao wanatafuta matatizo...huyo Waziri wa fedha ni kiboko...
 
Na bei lazima ipande zaidi, demand inazidi ongezeka huko dunia ya kwanza wanaelekea kama sio kufika kwenye post covid, wanafungua uchumi🤣
 
Bei mpya ya mafuta imetoka. Imepanda tena miezi minne mfululizo. Petrol hapa Dar 2405, diesel 2215. Kuna mikoa petrol inafika 2600/-. Tutaheshimiana tu barabarani.
#KaziIendelee
Miaka 30 kutoka sasa kutakuwa na wahamiaji haramu kutoka uarabuni kuliko kawaida! Biashara ya wese inaenda kuuliwa na akina electric engines n machines[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…