Dah! Kweli katika option zote alizokuwa nazo niwe Mimi tu?Hahahaha hii mimi imenikuta kaka kila baada ya miezi kadhaa anaomba sometimes nampa sometimes namkazia maana ameolewa na mimi nina wife.
Kitu kizuri kwangu sijawahi kukutana naye since 2014 tulipoachana. Niligundua anatafuta namna tu ya kuendeleza uhusiano maana aliwahi kumwambia jamaa yangu flani kama ameolewa kwasababu mi nilikuwa nachelewesha ndoa ila amegundua alikuwa ananikubali sana na still ananikubali.
Hapo kazi kwako upige au uachane naye ila mjali tu kama binadamu wengine.
Kwanini umpeKwanini?