EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu

Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.

Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?View attachment 3114202
Hakuombi hela anakukuomba wewe.

Una umri gani kushindwa kuelewa saikolojia za wanawake?

Mwenzako hapo anataka relation irejee baba.

Hiyo aliyotumia ndiyo 'njia kuu' ya mwanamke kutongozea.

Mwanamke yeyote ukisikia kirahisi rahisi tu anakwambia... 'Nikopeshe hela', sijui 'naomba hela'... elewa kuwa huo ni mtego wa simba umetupiwa na ukiukwepa unastahili tuzo la kombe.

Utakopwa na hulipwi, mpaka akili zikusogee na ukimdai ndo anachokitaka msogeleane karibu aitathimini mihemuko yako😁😁😜.

Hana shida ya hela wala nini huyo,
za kuambiwa changanya na zako mwanawane.
 
Back
Top Bottom