EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Binafsi mi huwa sijibu mesej ya Ex akituma message nafuta hiyo meseji pamoja na namba yake hapo hapo maana siku zinavyozidi kwenda navyozidi kumsahau ndo sitaki kujua chochote kuhusu yeye.
Usitume hela yoyote futa hizo meseji na namba yake
 
Asante Sana Kwa ushauri
 
Hey Ushetani uendelee mkuu Lucha sasa ukimpotezea mazima tutafanyaje ushetan Devil one? Inatakiwa unamuacha but unamkeep around ili ushetani uanze na uendelee hey bud dont shit em 4rever
By Devil one promax.
 
Back
Top Bottom