EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa yeye Huwa ananipigia simu

Kila baada ya week 2 Huwa lazima anitafute nimeshazoea Hilo lazima hupiga simu Leo pia nilikuwa mbali na simu nikakuta missed call yake nikamwambia piga akapiga hatukuwana alikuwa kwenye kelele Sana.

Tukachat kidogo akaomba PESA je uyu mtu ana akili timamu kweli?
 
Hahahaha hii mimi imenikuta kaka kila baada ya miezi kadhaa anaomba sometimes nampa sometimes namkazia maana ameolewa na mimi nina wife.

Kitu kizuri kwangu sijawahi kukutana naye since 2014 tulipoachana. Niligundua anatafuta namna tu ya kuendeleza uhusiano maana aliwahi kumwambia jamaa yangu flani kama ameolewa kwasababu mi nilikuwa nachelewesha ndoa ila amegundua alikuwa ananikubali sana na still ananikubali.

Hapo kazi kwako upige au uachane naye ila mjali tu kama binadamu wengine.
 
Dah! Kweli katika option zote alizokuwa nazo niwe Mimi tu?
 
Back
Top Bottom