EX ananiomba pesa. Ushauri wenu please

Hakuombi hela anakukuomba wewe.

Una umri gani kushindwa kuelewa saikolojia za wanawake?

Mwenzako hapo anataka relation irejee baba.

Hiyo aliyotumia ndiyo 'njia kuu' ya mwanamke kutongozea.

Mwanamke yeyote ukisikia kirahisi rahisi tu anakwambia... 'Nikopeshe hela', sijui 'naomba hela'... elewa kuwa huo ni mtego wa simba umetupiwa na ukiukwepa unastahili tuzo la kombe.

Utakopwa na hulipwi, mpaka akili zikusogee na ukimdai ndo anachokitaka msogeleane karibu aitathimini mihemuko yako😁😁😜.

Hana shida ya hela wala nini huyo,
za kuambiwa changanya na zako mwanawane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…