La msingi hapa Pretty nini chanzo cha wewe kuachwa na huyo mwingine akaonekana bora kuliko wewe?hili ndio swala la msingi, Pretty anaonekana anampenda sana EX-BF lakini hataki kusema kwa nini waliachana, na sasa hivi ansema jamaa anataka kumrudia. Pretty mimi nadhani humu ndani ya JF utapata mawazomengi sana lakini mwenye final decision ni wewe mwenyewe Pretty!!
Huyu jamaa siyo mvumilivu,ina maana hata ukisafiri kikazi tu;huku nyuma anachukua kifaa kingine hadi utakaporudi!!Hapa sasa akili kichwani Pretty;sijui kama utakubali ku-share mapenzi!?najua hamkujua sababu kwa nn tulitengana. Mie nilienda kusoma nje ya nchi. nilichukua kozi yapata miaka 4, kumbe baadaye yy akamua kuoa sababu tu eti mie kwa kuwa nipo nje nitamuacha. Sasa nilirudi nyumbani baada ya kumaliza skul nikapata kazi nzuri. Sasa ile kuonana tu akaanza kudai tena tuwe wote.
najua hamkujua sababu kwa nn tulitengana. Mie nilienda kusoma nje ya nchi. nilichukua kozi yapata miaka 4, kumbe baadaye yy akamua kuoa sababu tu eti mie kwa kuwa nipo nje nitamuacha. Sasa nilirudi nyumbani baada ya kumaliza skul nikapata kazi nzuri. Sasa ile kuonana tu akaanza kudai tena tuwe wote.
najua hamkujua sababu kwa nn tulitengana. Mie nilienda kusoma nje ya nchi. nilichukua kozi yapata miaka 4, kumbe baadaye yy akamua kuoa sababu tu eti mie kwa kuwa nipo nje nitamuacha. Sasa nilirudi nyumbani baada ya kumaliza skul nikapata kazi nzuri. Sasa ile kuonana tu akaanza kudai tena tuwe wote.La msingi hapa Pretty nini chanzo cha wewe kuachwa na huyo mwingine akaonekana bora kuliko wewe?
Ukinipatia jibu nitajua what next...
najua hamkujua sababu kwa nn tulitengana. Mie nilienda kusoma nje ya nchi. nilichukua kozi yapata miaka 4, kumbe baadaye yy akamua kuoa sababu tu eti mie kwa kuwa nipo nje nitamuacha. Sasa nilirudi nyumbani baada ya kumaliza skul nikapata kazi nzuri. Sasa ile kuonana tu akaanza kudai tena tuwe wote.
kwanza mie mkristo,Yani distance ndo akaamua tu kuoa moja kwa moja au kulikuwa na tatizo lingine labda ni personal na huwezi kulisema hapa? Au mawasiliano yalikatika kabisa kipindi hicho upo nje akaona labda ndo mwisho wenu na kuamua kuoa?
Basi mwambie akitaka muwe wote amuache mkewe kama atafanya hivyo ujue anakupenda ambaco najua hatafanya kabisa au akuoe 2nd wife kama ni muislam, lasivyo anaweza kuwa amemiss company yako kwavile hamkuachana kwa vituko ila umbali kati yenu.
Pretty,wewe mwenyewe moyo wako unakushawishi nini? Uwe nae kimapenzi au mbaki marafiki wazuri? Huna mpenzi kwa sasa? Hutaki kuolewa? Nitashukuru ukinijibu.
kwanza mie mkristo,
-Moyo wangu bado unamfeel japo kaoa.Lakini sitoweza kulala naye.
-labda tubaki marafiki wazuri.
-kwa sasa bado sina mpenzi huwa natoka out na huyo ex b
- Sina wazo bado la kuolewa.
HAYO NDIO MAJIBU YA MASWALI YAKO BELINDAJACOB
kama huna boyfiend mpe tu mambo. si unajua vya kuiba vilivyo vitamu.nafikiri ameyamis sana mapenzi yako. mpe tu.
kwanza mie mkristo,
-Moyo wangu bado unamfeel japo kaoa.Lakini sitoweza kulala naye.
-labda tubaki marafiki wazuri.
-kwa sasa bado sina mpenzi huwa natoka out na huyo ex b
- Sina wazo bado la kuolewa.
HAYO NDIO MAJIBU YA MASWALI YAKO BELINDAJACOB
Pretty
Usiogope, nenda ukubaliane nae kisha MEGWA then kaa kimya.
Unasumbua vichwa vyetu hapa wakati moyo wako ushakuamulia. Ningekujua walah hata mie ningekumega mwanamwali wewe.
Naomba nikuulize tu, Umeshachezwa unyago wewe?? kama bado nitakutafutia kungwi akupunge
Mwache Pretty wa watu. Mimi nasisitiza kuwa hiyo ni hali ya kawaida sana kwa wapenzi kukumbukana hasa baada ya kupitia mazingira fulanifulani magumu. Wao ni watu wazima, kuna mengine hata wakiyafanya hawatapenda yawe wazi kwa kila mtu kujua. Lakini mtu anapouliza ushauri labda anatamani au anahisi uwezekano wa kwenda hatua mbele zaidi ya hayo ya siri, ambapo hapo sasa itakuwa si siri tena, hapo ndio panahitaji ushauri maana ni uamuzi unaogusa watu zaidi ya wawili. Mimi nadhani Pretty akiridhika kuwa 'nyumba ndogo' ya mpenziwe huyo au 'kupindua' kabisa naona poa tu, mradi waridhiane na wahakikishe makosa yaliyotokea huko nyuma yamewapa elimu ya kutosha.
..kwa hiyo ndo umempa ushauri mzuri wa kuvunja ndoa halali kisheria eeh!!!
wizi mtupu