Ex-gf wangu kanitia hasara tuu...!!

Ex-gf wangu kanitia hasara tuu...!!

ha haha basi ungerudi ulalae tu ubailishe mazingira ha hahaaha


Ningerudi kulala kule ningejiumiza tuu.. Maana nikilala lodge peke yangu ni lazima nijilipue kamoja...
Especially kama ulitaraji kuwa na mtu, sasa zile hisia zile...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Sasa huyu mwingine alikua Period mkuu..... Juzi nimeuita gheto namuandaa nabakiza chupi eti anasema yuko MP.
Ndio maana nikaona nipoze maganzi yangu kwa kupasha Kiporo mkuu....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
[emoji3][emoji3][emoji3]wewe utakuwa na tabu sana mkeo akipata ujauzito....nenda vizuri utabaka mkuu
 
Mkuu sijakutukana na wala sikukuuliza wewe kinachokuchekesha. Hivyo kuwa na heshima ukitaka kuheshimiwa.


Ulikua unalenga nini hasa. Utanieleza tuu. Ngoja kwanza nikatupe haya ma soksi kwanza.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Ningerudi kulala kule ningejiumiza tuu.. Maana nikilala lodge peke yangu ni lazima nijilipue kamoja...
Especially kama ulitaraji kuwa na mtu, sasa zile hisia zile...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
pole sana mkuu ila hata mi nishamfanyia mtu hivyo alichukia sema nilienda mwenyewe sema nikagoma kuingia ndani nataka kukaa nje ha hahaha nakumbuka jamaa aliomba akawa mpole hadi machozi yanamlenga lenga mi nimekaza napiga maji tu huwezi amini aliondoka bila kuaga nakuniachia bili nikamuita muhudumu wa lodge tukashauriana tufanyaje akasema anarudisha nusu ya bei itaingia kwenye vinywaji ... ila ameshafariki yule kaka alale kwa amani
 
Hapo PATAYA nimeshaamisha majeshi mimi siku hizi naenda KINYAIYA pub pale,
Upande wa pili wa barabara pembeni kidogo ya landmark hotel kwa sasa ni ubungo hostel, pale cha fasta ata buku 15 unapata room.


Daaaaah..... Mie nilishakariri..... Haitajirudia tena.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Yani nimeshangaa sana mtoa mada bado hana mbinu zakutosha zakuishi town anatakiwa kupigwa msasa wakutosha!!!


Mkuu mi nilijua 100% lazima dogo aje nimkaze.. Tena kisawa sawa.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Hapana mkuu..! hata Mi siwezi kufanya hiyo kitu.
Yaani kuona simu yake tu, ushaConfirm kuwa anataka mchezo. Hata kama angekuwa ni demu wako, huwa kuna kumpanga kwanza, hata kwa lugha ya utani, na mafumbo kidogo.

Ila hapo mkuu; ulikurupuka tu! ulim-underestimate sana huyo demu wako.
NAAMINI HUTARUDIA TENA; UMESHAISOMA NAMBA TAYARI.

Daaaaah.. Kweli mkuu.... Ungepaswa kunieleza haya kabla ya mambo kutokea, nisinge ingia loss..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
[emoji443] [emoji441] " unataka kukimbia na hauna breki...... What do you expect.......[emoji441] [emoji443]

[emoji4] [emoji4] [emoji12]
 
Navuta picha angekuja peke yake halafu akakuambia yupo kwenye period...naona ungemla hivyo hivyo [emoji3]
 
Daaaaah.. Kweli mkuu.... Ungepaswa kunieleza haya kabla ya mambo kutokea, nisinge ingia loss..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]

usiogope kukosea mkuu..!
mwanaume harudii kosa, huyo atakaefuata najua utamuuliza hata rangi ya chupi ambayo atakuja ameivaa
.😀😀
 
Back
Top Bottom