Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
- Thread starter
- #41
ha haha basi ungerudi ulalae tu ubailishe mazingira ha hahaaha
Ningerudi kulala kule ningejiumiza tuu.. Maana nikilala lodge peke yangu ni lazima nijilipue kamoja...
Especially kama ulitaraji kuwa na mtu, sasa zile hisia zile...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]