Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

Japokuwa sisapoti neno “ex harudiwi” sababu destiny ya mtu anaijua Mungu, LAKINI… nilisamehe makosa nikajiambia second chances zipo nikarudia ex …khaaaaa! Alikuja na vibe bovuuuuu kupitiliza yani! Akanitoka mazima mazima rasmi! YaNi Ptuuuu!!!! Sikuwahi jua jamaa ana roho mbaya kuliko shetani,
 
Kabisa cute...ni kuwaacha kwa nguvu
 
Ex harudiwi mom
 
Yule manzi bana ni pasua kichwa.
Tulifunga mkataba ghafla.
Siku si nyingi mshale ukasoma full ikabd tutaftane kupunguza kibuyu.
Tukiwa katikati ya mirindimo ya pwani nkasukuma nyama nkashangaa wigi linaruka linaangukia uoande mwingine wa kitanda nmebaki na twende kilioni zinanishangaa.
Nkawazaaa, hv hii maisha mpka lini?
Nkafunga muamala mpka leo.
Popote ulipo uende salama.
Kunguni maji wahed kbsa bladihenken!
 
hiyo finishing[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwenye pirika pirika tu ilitokea na yeye mwenyewe alikiwa kwenye pirika pirika zake basi tukaonana, ilikiwa ni baada ya muda mrefu so ilikuwa ni best opportunity 4 each other.

Tulienda restaurant akalipa, tukaenda kupata moja baridi moja moto nikalipa tukatoka haoooo mpaka geto nikapiga mchinji mpaka kesho yake jioni mida ya saa moja akaondoka hatujaonana tena npaka leo.
 
Alikuja kwa please nyingi + Mtoto alikuwa Chips kidogo Nyama nyingi..Nakumbuka niliangusha Mbuyu kibabe na ndani ya wiki 1 Nikabwaga Jumla..
 
Nashukuru mkuu
 
Doh huyo ni mbaya sana
 
Nashukuru mkuu🙏🙏🙏
 
Reactions: Tsh
Asante kwa nondo mkuu

Hili ni la kulifanyia kazi
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…