Ex-Miss Nigeria uk, Dabota Lawson avalishwa pete na babu billionaire.

Ex-Miss Nigeria uk, Dabota Lawson avalishwa pete na babu billionaire.

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Nafahamu ni mambo ya mtu binafsi ila kwa interval ya umri kwa kweli nimeshangaa.
Dabota yupo na age ya 20+ wakati Prince Sunny Aku yupo na age ya 60+. Ukweli ni mtu na mwanae
Wadada embu tusaidieane, pesa ndio mchawi wenu ama??????

1673780_2625_jpegb47fdb9631a3e811a67ed3ffbb71a47e.jpg

1673781_2624_pnga900f5f12cd516d3afc8d434c00a2618.png
 
Kila kitu ni uchawi, lakini 'power' ina nafasi yake.
 
pesa tamu hata yuda eskaliot anajua hilo....:behindsofa:
 
Pesa ndio sabuni ya roho...........

Pesa mbaya sana!! Utakuta mwanaume kawaka moto anajulikana lakini akiwa anazimwaga wanawake wanajipanga foleni. Wanawake pesa huwapa upofu kwa kiasi kikubwa.
 
Kwa kweli huyo binti ana moyo! Hivi haoni kinyaa kuwa intimate na hicho kibabu?

Hebu jenga taswira wanakulana denda, kibabu kinameza viagra au cialis, wanavua nguo....wanaanza kudadabuana....

I guess any trace of squeamishness on the girl's part is trumped by his billions!
 
Huyu yuko after mahela ,kajiwekea miaka 6-10 anajua kama sio ajali ,magonjwa nk nk kibabu kinaweza kutangulia
 
Mwanaume pesa,....uzee akienda kwa wazazi wake.
 
Wanaija nao kwa kupenda ela...(ila nilidhani babu wa kizungu)
Mpaka Geneveive ana kashfa ya kutembea na one of their billionaires kampa mtaji sijuhi na gari... nadhani imechangia kutopata mtu wa kujicomit kwake...D'banj mwenyewe kateleza kiaina...

Ela ina maana ukiwa huna...ukiipata utawakumbuka vijana wenzako...na hawa vibabu wana wivu lazima wakuwekee bodigadi...
 
JINGA SANA...Sasa weweee babu unamjua? Unajua kutofautisha babu na mbaba?

Muache si kapenda....HATA km ni pesa, hata kama ni penzi haijalishi ilimradi kashapenda na ndio kavishwa..wewe yahuu??





Nafahamu ni mambo ya mtu binafsi ila kwa interval ya umri kwa kweli nimeshangaa.
Dabota yupo na age ya 20+ wakati Prince Sunny Aku yupo na age ya 60+. Ukweli ni mtu na mwanae
Wadada embu tusaidieane, pesa ndio mchawi wenu ama??????

View attachment 182485

View attachment 182486
 
mbona hata hapa Bongo nasikia yupo mmoja tena keshazalishwa watoto mapacha....ukiingia fb utamuona tu na vi-status vyake....ooooh! me n' three important men in my life...hahahaaa kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom