TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa kushirikiana na familia.

Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kisasa na kuhusu ratiba ya mazishi taarifa rasmi itatolewa baadaye.

FLsSMr8WUAIV8de.jpg
 
Apumzike alipojiandalia angali hai.

Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu sala za kuombea marehemu hazibadilishi hatma yako.

Anza kujipanga sasa kwa mujibu wa imani yako.

================
Ebr 9:27-28 SUV

Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu; kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
 
Alikuwa Kamanda mkoa Gani? Hpo nimeona ex au alishastaafu
Huyu nakumbuka miaka ya 2016 Alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa nadhani alihamishwa kabla ya 2020. Tuliwahi kumhoji ofisini pale Sumbawanga miaka hiyo.
 
Kama ni polisi sawa tu. Tribute kwa wajomba zangu akina chigumbi.
 
Dah hata kustaafu bado

Maisha haya na angefaidi mafao manono ya cheo cha SACP baada ya kustaafu
 
polisi bana magumashi sana majina massawe mchaga sijui mwanani mnyaklish, hawa jamaa wanaungaunga sana vyeti , ndiomaana kipindi kile cha feki wakaamua kuwaacha tu maana hata Zirro asingetoboa
 
Akapumzike panapostahili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla sijasema RIP nataka nijue huyu marehem, aliuwa 'watuhumiwa' wangapi enzi za upolisi wake?
 
Back
Top Bottom