F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Ninacho uliza hapa ni kirefu Cha hiyo EX ni nini? Alafu mbona huwekuta Ex captain rakini ni rtd captain? Au nyie ni wabaguzi Sana .? Maaana kinachobadilika hapo si ni mamlaka tuu lakini mtu ni Yule Yule au ? Naomba ufafanuziEX maana yake aliyekuwa Askari kwamba kwa sasa si Askari tena pengine ALISHASTAAFU,au ALIACHA au ALIFUKUZWA,mfano EX Afande TIBAIGANA au EX Afande Mahita