Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Kwani alishastaafu Mzee Mwaruanda?IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.
Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa kushirikiana na familia.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Kisasa na kuhusu ratiba ya mazishi taarifa rasmi itatolewa baadaye.
View attachment 2120757