John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Huyu nakumbuka miaka ya 2016 Alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa nadhani alihamishwa kabla ya 2020. Tuliwahi kumhoji ofisini pale Sumbawanga miaka hiyo.Alikuwa Kamanda mkoa Gani? Hpo nimeona ex au alishastaafu
Kwani kwa kutambua utakufa, inakuepusha na kifo!Acha wafe Wanadhani wataishi milele
Mwakani alikua anastaafu huyoDah hata kustaafu bado
Maisha haya na angefaidi mafao manono ya cheo cha SACP baada ya kustaafu
Kwani we hautakufa.Acha wafe Wanadhani wataishi milele
wewe nani wakuishi milele?Acha wafe Wanadhani wataishi milele