EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Unambariki? Kwanini?

Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati nina uhitaji na kila mtu aliniacha (nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu huyu.

Twende kazi.

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Mungu amtunze, awe na afya njema na baraka, awe na amani azungukwe na upendo.

Awe na mafanikio makubwa, akipata yeye naamini na mimi nimepata[emoji28]

Apate mke mwema watayeongea lugha moja.
 
Maex wangu wote karibia 50 hakuna niliyegombana nae serious mpaka kufikia kutoongea.

Maex wangu wote nawaambia mimi ni mzima na nawasalimu sana , ujumbe waheshimu mahusiano yao ya sasa tukikutana wasiniweke kwenye mitego ya kula tunda tena maana huwa nategeka haswa.
 
Mungu amtunze, awe na afya njema na baraka, awe na amani azungukwe na upendo.

Awe na mafanikio makubwa, akipata yeye naamini na mimi nimepata[emoji28]

Apate mke mwema watayeongea lugha moja.
Ohooo Hallelujah mtumishi wa Bwana.ni wachache snaa wenye kuyasema Haya.

Nini kilitokea mpka kufikia hatua ya kumuombea mema?
 
Maex wangu wote karibia 50 hakuna niliyegombana nae serious mpaka kufikia kutoongea.

Maex wangu wote nawaambia mimi ni mzima na nawasalimu sana , ujumbe waheshimu mahusiano yao ya sasa tukikutana wasiniweke kwenye mitego ya kula tunda tena maana huwa nategeka haswa.
Pepo utaisikia kwenye taarifa ya Habari wallah 😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom