EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

Ni nini kina kufanya usigombane nao na ilihali katika hali ya kawaida sio rahisi?
Ni rahisi.... Ukiona mwenzako ndio anataka kukuacha jaribu kukubaliana na hali alafu tengeneza mazingira ya kumfanya rafiki wa kawaida.

Kwa upande wangu huwa sivunji mahusiano kizembe bora niendelee nayo kwa uvivu yakajivunjikie yenyewe
 
Nikiona mtoto wa mtu ananizingua uwa nasepa kimyakimya hakuna mambo ya malumbano wala nini,

So sijawahi kumwambia mtoto wa mtu kuwa nimekuacha au tuachane ,Mimi pia sijawahi ambiwa ivyo.

Uwa ni kimyakimya tu na tunaishi fleshi.
Tupo pamoja kwenye hili,hawara hana talaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom