Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #41
S
asa wewe omba kila siku uwe unaacha.siku ukiachwa na bado unampenda..walai utaimba nyimbo za kisifu na kuabudu pamojaNikiona mtoto wa mtu ananizingua uwa nasepa kimyakimya hakuna mambo ya malumbano wala nini,
So sijawahi kumwambia mtoto wa mtu kuwa nimekuacha au tuachane ,Mimi pia sijawahi ambiwa ivyo.
Uwa ni kimyakimya tu na tunaishi fleshi.