Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

Ni zaidi ya 40 Million...
Boutique: location Zanzibar ndani ya hotel yenye minimum capacity 200 Pax (low season) na 700 pax (high season) .. Ipo siku Mwenyewe atakuja na ushuhuda wake maana anaufuatilia huu uzi vzr tu..
Shukran 🙏
 
Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.

Hawa 2 nilitaka nipige kabisa ndoa woote 2 ila baadae nikaja gundua yule mmoja hakuwa na akili ya maisha zaidi ya starehe. Kwanini niligundua?

Niliwapa mtaji kila mtu 4 million afanye biashara anayotaka then me nitawakagua(kumbuka hawajuani), huyo mmoja ambaye hadi hv Sasa ndio mke wangu na nimezaa nae mtoto Tyr ile pesa niliyompa hadi hivi Sasa mizunguko wake unacheza kwenye 40 Million.

Huyo ex wangu ile pesa alipiga yote then nikamuongea 2 Million hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusema yeye anataka kuwa muigizaji, then nilikuja mwambia ukweli kuwa sitoweza endelea nae na sababu nikampa. Najua atasoma huu uzi ila potelea pote.

Sasa basi;Leo asubuhi Kuna rafiki yangu kanipigia simu yupo Dar kuwa yule Shemeji yangu kumbe anajiuza siku hizi? Nikamuuliza umethibitusha vp akasema Kuna agent wa kuuza wanawake kamueka status.

Nikamwambia nipe namba ya huyo agent, akanitumia nikamcheki na nikamtumia picha a kaniambia nimtumie 10K ili anipe namba. Nami nikafanya hivyo kweli a kanipa namba ila sio ile ambayo me nilikuwa naijua. Nilivyomcheki akanipa price yake kuwa 150K per night ila nimtumie picha yangu kwanza, nikamwambia let go whatsapp video call.

Hapo ndipo kizazaa kimekuja alivyoniona tu ni mm kaanza kuporomosha lawama kuwa me ndio nimesababisha iwe hivyo jambo hadi yeye kuwa anajiuza.

Niweke wazi: Nashukuru JF nimepata mke msikivu sana, mwelewa, mshauri mzuri na Mwenye kuheshimu Mume hadi Sasa ndoa yetu Ina amani sana siku tegemea kabisaaaa.

Ila kuweni Makini pia mijitu humu inajiuza..
Asante kwa story yako mkuu

Ila mimi ombi langu ni moja tu naomba uniPM namba ya huyo agent nataka nicheki pisi zake niruke nayo moja JUMAPILI ya leo
 
Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao
Yamepita mkuu..focus kwa mkeo sasa mjenge familia
Btw nkopeshe hata laki name mtaji na mieee [emoji134][emoji134]
 
Tulia dogo mtoto mmoja tu kwenye ndoa hujafikisha hata miaka 5 wenzako waliishi pamoja miaka 10 ila sasa hivi wanapishana mahakamani huko if it's your enjoy your marriage life ila hii kutupiga kamba hapa kwamba mna amani doesn't make sense wenzako juzi wameuana dodoma walikuwa na watoto wanne.
Kwa nini huwa hampendi kusikia kuwa mtu ana amani kwenye ndoa yake? Maisha ni vile wewe mwenyewe umeamua kuishi
 
Hii itakuwa kiki, unatafuta michepuko kijanja
 
Watu wanaotafua wake wa kuoa mitandaoni sijawahi kuwaelewa kabisa, mtu mwenye kipato cha uhakika unakosaje mwanamke unayemtaka mwenye vigezo karibu na mazingira yako?

Mfano sehemu unapofanya biashara, chuo, kazini na mtaani kwenu unapoishi? Ina maana wanawake wameadimika kiasi hicho? Mbona mimi nakutana nao wengi huku tena kila sehemu na hata kwenye daladala unaweza kuomba namba na anakupa binti safi kabisa. Achana na hapo hivi wakati unasoma secondary school ulishindwa vipi kupata soulmate mnaejuana kiundani zaidi na mpaka mkaoana?

Sababu it doesn't make anysense mtu wa kuishi naye milele umkose kote huko mpaka kwenda kumtafuta kwa vigezo mitandaoni kama gari au simu, it's sounds bizarre and eccentric to me.

Najua sio lazima kuamini hii story lakini siamini.
 
Sijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356] mnachosha
Hili povu linawalakini aisee
 
Habari zenu wakuu.

Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika

Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.
Utoto raha sana. Ukija kua ukaja soma huu uzi wako utajicheka sana. Kwa sasa unakuwa na ndoto nyevu nyingi unakuja mpaka ziandika hapa. Subiri ukue na shemeji yako akwambie sasa ukajitegemee ndo utajiona ulivyokuwa bwege.
 
Back
Top Bottom