jahtera
Senior Member
- Mar 27, 2020
- 122
- 244
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran 🙏Ni zaidi ya 40 Million...
Boutique: location Zanzibar ndani ya hotel yenye minimum capacity 200 Pax (low season) na 700 pax (high season) .. Ipo siku Mwenyewe atakuja na ushuhuda wake maana anaufuatilia huu uzi vzr tu..
Nilizama uvinza yakatokea yakutokea mkuuMkuu huo mdomo wako kwenye avatar umewiana na jina lako la papuchi_kashi
Asante kwa story yako mkuuHabari zenu wakuu.
Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika
Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.
Hawa 2 nilitaka nipige kabisa ndoa woote 2 ila baadae nikaja gundua yule mmoja hakuwa na akili ya maisha zaidi ya starehe. Kwanini niligundua?
Niliwapa mtaji kila mtu 4 million afanye biashara anayotaka then me nitawakagua(kumbuka hawajuani), huyo mmoja ambaye hadi hv Sasa ndio mke wangu na nimezaa nae mtoto Tyr ile pesa niliyompa hadi hivi Sasa mizunguko wake unacheza kwenye 40 Million.
Huyo ex wangu ile pesa alipiga yote then nikamuongea 2 Million hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kusema yeye anataka kuwa muigizaji, then nilikuja mwambia ukweli kuwa sitoweza endelea nae na sababu nikampa. Najua atasoma huu uzi ila potelea pote.
Sasa basi;Leo asubuhi Kuna rafiki yangu kanipigia simu yupo Dar kuwa yule Shemeji yangu kumbe anajiuza siku hizi? Nikamuuliza umethibitusha vp akasema Kuna agent wa kuuza wanawake kamueka status.
Nikamwambia nipe namba ya huyo agent, akanitumia nikamcheki na nikamtumia picha a kaniambia nimtumie 10K ili anipe namba. Nami nikafanya hivyo kweli a kanipa namba ila sio ile ambayo me nilikuwa naijua. Nilivyomcheki akanipa price yake kuwa 150K per night ila nimtumie picha yangu kwanza, nikamwambia let go whatsapp video call.
Hapo ndipo kizazaa kimekuja alivyoniona tu ni mm kaanza kuporomosha lawama kuwa me ndio nimesababisha iwe hivyo jambo hadi yeye kuwa anajiuza.
Niweke wazi: Nashukuru JF nimepata mke msikivu sana, mwelewa, mshauri mzuri na Mwenye kuheshimu Mume hadi Sasa ndoa yetu Ina amani sana siku tegemea kabisaaaa.
Ila kuweni Makini pia mijitu humu inajiuza..
Yamepita mkuu..focus kwa mkeo sasa mjenge familiaHabari zenu wakuu.
Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika
Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao
Shilingi sifuri[emoji16][emoji16]aroooo
Kwan kumove on ni sh ngapi?
Kwa nini huwa hampendi kusikia kuwa mtu ana amani kwenye ndoa yake? Maisha ni vile wewe mwenyewe umeamua kuishiTulia dogo mtoto mmoja tu kwenye ndoa hujafikisha hata miaka 5 wenzako waliishi pamoja miaka 10 ila sasa hivi wanapishana mahakamani huko if it's your enjoy your marriage life ila hii kutupiga kamba hapa kwamba mna amani doesn't make sense wenzako juzi wameuana dodoma walikuwa na watoto wanne.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nje ya mada sioYamepita mkuu..focus kwa mkeo sasa mjenge familia
Btw nkopeshe hata laki name mtaji na mieee [emoji134][emoji134]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nje ya mada sio
Ukipata uzungushe kisha unikopeshe na mimi
Sheikh kukopeshwa sio issue. Ila deni sharti likipweYamepita mkuu..focus kwa mkeo sasa mjenge familia
Btw nkopeshe hata laki name mtaji na mieee [emoji134][emoji134]
Kumbe Bado upo? Hako kamsemo huwa unapenda sana kukatumia..Mambo yake muachie mwenyewe...
Hili povu linawalakini aiseeSijui nicheme au nichicheme nachema.
1.ulimpenda kushinda wengine ukaja kujua hana akili ya maisha .
2. Wewe ni malaya kama yeye bora anajiuza anapata chake wewe unachukuliwa hela na yeye eti mmeachana wapi .
Lione kwanza hujatulia huyu men mapepe.
Tulia unamke namtoto umalaya wanini??[emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356] mnachosha
The world is going too fast , aisee ndio tumefika huku
Utoto raha sana. Ukija kua ukaja soma huu uzi wako utajicheka sana. Kwa sasa unakuwa na ndoto nyevu nyingi unakuja mpaka ziandika hapa. Subiri ukue na shemeji yako akwambie sasa ukajitegemee ndo utajiona ulivyokuwa bwege.Habari zenu wakuu.
Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika
Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2.
Mkuu kwenye shughuli hukunialika ilaa.. poa tu ingawa yangu nitakualika.😄Itabidi tuanzishe nyuzi ya sisi tuliopata wake(wenza) jf humu.