Ex wangu ananiwekea vijembe status

Mkuu mwanamke ni kawaida, ukitaka aumie usiview status zake. Ila ukiview akaona umeview hapo ndo anafurah ujumbe umefika.
 
Kwahiyo sisi wenye Maex ambao kwanza hawawekagi status, afu kuna sisi ambao tunaweka kwa nadra. Tukiweka hizo za kuandika ni kuna team la EPL au UEFA tunalikandia.

Jamani sisi ni wazee au


Mbona kama huyo ex wifi etu anazingua
Hivi hizo makiti ni makitu za kuweka status kweli? X bla x bla, na mama zake wanapita kuview? Au ndio wale wasiojiamini mpk wanachagua nani aone, wengine hawaoni
 
Mimi nadhani amehide wote kaniacha niview mimiπŸ˜€πŸ˜€
 
Last seen her status ilikuwa saa ngapi leo hii?
Saa kumi na Moja. The rest tumetumia huo mda kuzozana baada ya kumchana aache mambo ya kitoto na show off za kidwanziπŸ˜€ akadai namfatilia nikamwambia unaweka status unataka tusiview? Unamfaidisha nani🀣 kipigo kilivomielemea akakimbilia eti ni mblock Kama awali πŸ˜€πŸ˜€ kwann nimemtoa kwenye block mwisho tukakubaliana kufuta namba za Kila mmoja
 
Washamba hawaishi sasa nani anateseka ww au yeye? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Unaangalia status zake za nini kwanza. Ushapiga chini namba zake unakaa nazo ili iweje? Haya anakupiga vijembe unataka sisi tukusaidieje vijana mkue sasa kuna mambo sio ya kuleta mtandaoni ni ushamba tu
 
Mbona povu? Au ndo wewe? Ex wangu
 
Wanawake wa bongo sijui njaa au hawana akili hata utombe vipi akubali kukuacha , Mimi nawapaga Block
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…