Ex wangu ananiwekea vijembe status

Ex wangu ananiwekea vijembe status

Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe😀😀 but I can't go back
tupe namba zake tuone ulipokuwa unakojolea pakoje😅😅
 
Amekua akifanya hivyo mara kibao ni mtu wa hivyo. Ni utoto na wivu na chuki vinamsumbua ova
Futa namba yake vinginevyo una mipango nae. Muache na utoto na wivu wake na anafanya yote hayo kwa target
 
Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me
Nachukiwa vibaya mno
Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu ukweli maana kumdanganya it's like I deny my kid kitu ambacho si kizuri and toka apo ni ugomvi usio Isha mpaka tukaachana, najua ananikubali tu pamoja na yote na anateseka uko aliko.

Mm namwombea apate tu ka kijana kampende vizuri aache kutanga tanga anenepe[emoji3][emoji3] but I can't go back
Una muda wa kuzipitia, kama hakuna kurudi nyuma, bado huelekei kama unaendelea mbele.
 
Back
Top Bottom