Huyu demu atakuwa na Pepo la ngono kitaalamu mwanamke hatakiwi kutamani mapenzi bila kuwa na utaratibu na ikitokea kama hivi tambua huyu mwanamke ni pepo mchafu kiufupi awezi kuondoa hicho kitu kichwani mwake, ushauri wangu acha kuendeleza mahusiano ambayo tayari yalikwisha hii ni kwa usalama wako pamoja na familia yako.
Tambua kuna magonjwa na pia jaribu kuvaa viatu vya huyo kiumbe mwenzako vipi ungekuwa wewe una megewa ungejisikiaje?
Kijana smart hafanyi mambo haya ya kuharibu mahusiano ya watu acha maisha yaendelee kwani zama zenu zilikwisha.
Ukipuuzia we mshenzi ukija kwenye harusi yangu kwa nia ya kuonana na mke wangu nitakutoa pumb* live bila chenga 😂😂😂