Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji

ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini?

kizuri au kibaya!
Anifa siumii wewe kuniacha ila nakushangaa mwanamke kuwa unalamba NIDO yangu kama litoto la nyoka .

Nasikia sasa uko na Juma mchopeko najua hata uwezo wa kununia NiDO hana hivyo hata siumii.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Dah kwangu mimi niliyeanza nae ndo mpaka now tuko wote radha ya ex hata sijui ikoje labda wale wa sekondari tuliokuwa tunadanganyana nao sidhani kama naweza kuwakumbuka kwa lolote coz ilikuwa ni ile ya kuitana tu babe nothing else

Nawasilisha mkuu
Sauwa
Hongera
 
Anifa siumii wewe kuniacha ila nakushangaa mwanamke kuwa unalamba NIDO yangu kama litoto la nyoka .

Nasikia sasa uko na Juma mchopeko najua hata uwezo wa kununia NiDO hana hivyo hata siumii.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ndio ex amekuvuruga mpaka unaongea mwenyewe.
Pole Sana
Next stop - MILEMBE
 
Back
Top Bottom