Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
aki utachomwa na gesi MbinguniHilo gari la wanaume unalipeleka wapi mzee wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aki utachomwa na gesi MbinguniHilo gari la wanaume unalipeleka wapi mzee wangu
poleMpumbavu pekee ndy anaweza kudili na yalopita bnafsi kuna mda nkikumbuka ushenzi nilofanya uwa najichukia " u can't change what happened but u can stop from happening again"
usisahau ku susbcribeTukutane kona yetu
Tuna jambo letu😊
mmefanana sauti sana mpaka nahisigi ndo wew😂😂😂alafu unanichorakumbe ex ana x
nipe jina lake nimempenda
uweee!mmefanana sauti sana mpaka nahisigi ndo wew😂😂😂alafu unanichora
50thebe Antonnia Smart911 Cr wa familia
sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji
ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini?
kizuri au kibaya!
Maumivu yapo kutufunza na kutukomaza kiakili. ila ubaya mpaka kuyavuka na ukabaki salama ni hatua ndefu.pole
naona umepigwa za uso na umeangukia meno ya mbele
Nasoma comments.
sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji
ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini?
kizuri au kibaya!
Kumbe😂Aisee kuna namna siwezi kumsahau yule jamaa.... nikisema anajua namaanisha anajua kweli yani😋😋😋..... ila ndo hivyo ex harudiwi😃😃
Kumbe what 😉😂😂😂Kumbe😂
Hata wewe😂Kumbe what 😉😂😂😂
Haha😂😂😂😉😉Hata wewe😂
Poleni jamanMaumivu yapo kutufunza na kutukomaza kiakili. ila ubaya mpaka kuyavuka na ukabaki salama ni hatua ndefu.
Usisahau Ku subscribeHoney Money Penny hizi simulizi zinasisimua mno. Heko sana my Money Penny 🌹