Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

Alinipa namba ya baba yake kijijini. Sikuwahi kuipiga maana sio ustaarabu ikiwa sijatambulishwa ukweni rasmi.

Siku hiyo akaaga kwenda kumuona baba yake kijijini maana anaumwa, nikamfungashia vya kumfungashia na pesa juu.

Baada ya wiki ya kutopatikana baada ya safari nakuja kuona kwenye status ile namba ya baba yake imewekwa picha za harusi na demu wangu ndio bibi harusi.

Kupiga ile namba akapokea njemba kaanza na shikamoo mjomba kubwa sana. Jamaa katoa shukrani nyingi kwa mchango wangu kwenye harusi yake na 'mpwa wangu'. Demu alinisevu na kutambulisha kama mjomba kwa jamaa yake.

Sijamuona tena mbwa yule mpaka leo.
 
HAHAHAHAHHA POLE BOSS
 
Back
Top Bottom