Ex wangu.

Kwani mkuu ukimiliki gari ulilolichagua kua nalo maishan alaf ukaamua kuliuza kwa kushindwa kuhudumia pesa za service ndogo ndogo na kubwa kisha ukaamua kuliuza kwa mwingine alaf mmiliki mpya akalirudisha ktk ubora wake ndio utashindwa japo kulitaman tena wkt ndio lilikua gari lako ulilolipenda kulitumia maishan ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…