50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
umeamua kabisa kuwapangia watu starehe zao!
btw uhai tu yenyewe ni wizi, leo unao kesho huna....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
😂😂KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?Kuelezea ni ngumu maana ni complex sana. Na sababu ni kwamba wanawake hawafanani ila wana tabia moja tu.
Mwanamke anayekupenda utamjua wakati una shida au financial ruin. Asiyekupenda hatakuvumilia kwenye stage hiyo.
Aisee ndo maana nikasema hapo mwanzoni, Iko complex sana.Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?
Au umemuoa mpaka akazaa watoto wakakuwa kufikia hatua ya ww kugundua kuwa sio wa mwako ,ndani ya miaka yote hiyo unakuwa hujakubwa na changamoto au shida yeyote mbona ana kuwa haja kukimbia?
Tatizo nyinyi mnadhani mwanamke akijishikisha kwa mwanaume asiye mpenda basi mna jua ame fuata hela, mwana mke anaweza kuwa hakupendi lakini akajiegesha kwako kwa malengo yengine kabisa tofauti na pesa.
Acheni kuhalalisha upumbavu kwa visingizio visivyo kuwa na msingi.
Mwana mke yeyote anaye fanya uzinzi hali ya kuwa ana mume nyumbani ni malaya tu na mpumbavu ,usilete visingizio vya eti hampendi mme wake , kama kulikuwa na mwanaume anaye mpenda kuliko huyo mmewe kwa nn hakwenda kuolewa na huyo anaye mpenda kuna sababu gani ya kuolewa na mtu usiye mpenda?
Malengo gani? Status?Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?
Au umemuoa mpaka akazaa watoto wakakuwa kufikia hatua ya ww kugundua kuwa sio wa mwako ,ndani ya miaka yote hiyo unakuwa hujakubwa na changamoto au shida yeyote mbona ana kuwa haja kukimbia?
Tatizo nyinyi mnadhani mwanamke akijishikisha kwa mwanaume asiye mpenda basi mna jua ame fuata hela, mwana mke anaweza kuwa hakupendi lakini akajiegesha kwako kwa malengo yengine kabisa tofauti na pesa.
Acheni kuhalalisha upumbavu kwa visingizio visivyo kuwa na msingi.
Mwana mke yeyote anaye fanya uzinzi hali ya kuwa ana mume nyumbani ni malaya tu na mpumbavu ,usilete visingizio vya eti hampendi mme wake , kama kulikuwa na mwanaume anaye mpenda kuliko huyo mmewe kwa nn hakwenda kuolewa na huyo anaye mpenda kuna sababu gani ya kuolewa na mtu usiye mpenda?
Yes sababu ya kuolewa na mtu usiyempenda kwa mwanamke viko vingi, ikiwemo uhakika wa maisha ya kwake na watoto wake na pia hamu ya kutaka kuolewa ikiwa agemates wake au marafiki zake wameolewa au mtaa anaokaa wengi wameolewa. Saikolojia yao ni ajabu sana na unexplainable. Wao wako emotional na visionary.Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?
Au umemuoa mpaka akazaa watoto wakakuwa kufikia hatua ya ww kugundua kuwa sio wa mwako ,ndani ya miaka yote hiyo unakuwa hujakubwa na changamoto au shida yeyote mbona ana kuwa haja kukimbia?
Tatizo nyinyi mnadhani mwanamke akijishikisha kwa mwanaume asiye mpenda basi mna jua ame fuata hela, mwana mke anaweza kuwa hakupendi lakini akajiegesha kwako kwa malengo yengine kabisa tofauti na pesa.
Acheni kuhalalisha upumbavu kwa visingizio visivyo kuwa na msingi.
Mwana mke yeyote anaye fanya uzinzi hali ya kuwa ana mume nyumbani ni malaya tu na mpumbavu ,usilete visingizio vya eti hampendi mme wake , kama kulikuwa na mwanaume anaye mpenda kuliko huyo mmewe kwa nn hakwenda kuolewa na huyo anaye mpenda kuna sababu gani ya kuolewa na mtu usiye mpenda?
Sihalalishi upumbavu kwasababu hata wanaume Malaya wapo.Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?
Au umemuoa mpaka akazaa watoto wakakuwa kufikia hatua ya ww kugundua kuwa sio wa mwako ,ndani ya miaka yote hiyo unakuwa hujakubwa na changamoto au shida yeyote mbona ana kuwa haja kukimbia?
Tatizo nyinyi mnadhani mwanamke akijishikisha kwa mwanaume asiye mpenda basi mna jua ame fuata hela, mwana mke anaweza kuwa hakupendi lakini akajiegesha kwako kwa malengo yengine kabisa tofauti na pesa.
Acheni kuhalalisha upumbavu kwa visingizio visivyo kuwa na msingi.
Mwana mke yeyote anaye fanya uzinzi hali ya kuwa ana mume nyumbani ni malaya tu na mpumbavu ,usilete visingizio vya eti hampendi mme wake , kama kulikuwa na mwanaume anaye mpenda kuliko huyo mmewe kwa nn hakwenda kuolewa na huyo anaye mpenda kuna sababu gani ya kuolewa na mtu usiye mpenda?
Mwanamke anaweza kuwa na ww hali ya kuwa hakupendi kwa sababu nyingi na sio za kifedha tu.Malengo gani? Status?
Uhakika wa kuishi kivipi kwani wanao bambikiziwa watoto ni matajiri peke yao?Yes sababu ya kuolewa na mtu usiyempenda kwa mwanamke viko vingi, ikiwemo uhakika wa maisha ya kwake na watoto wake na pia hamu ya kutaka kuolewa ikiwa agemates wake au marafiki zake wameolewa au mtaa anaokaa wengi wameolewa. Saikolojia yao ni ajabu sana na unexplainable. Wao wako emotional na visionary.
Mwanamke anakusaliti pale ambapo ameonana na mwanaume ambaye amefit criteria zake na amekuzidi wewe, ni bora kuliko wewe. Ila pia atakusaliti pale ambapo umeshindwa kufit kwenye viatu vya ex wake aliyempenda sana wakaachana, wanakua na liquidity void ambayo ukishindwa kuiziba itazibuka. Kumbuka wanawake wakipata wanaume huwa wanataka wapate wanaume ambaye anaweza kuringa popote kwa marafiki zake au hata kwa ex wake. It's on their brain.
Maneno Haya yadumu milele na milele.... 🙏🙏🙏KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
Uko sahihi .Mwanamke anaweza kuwa na ww hali ya kuwa hakupendi kwa sababu nyingi na sio za kifedha tu.
Anaweza kuwa kwako kwa sababu una nguvu nyingi za kiume hivyo akawa ana kutumia kama sextoy kwa ajili ya kutimiza haja za mwili wake.
Mwanamke anaweza kuwa hakupendi lakini akagundua ww ni mtafutaji na mpambanaji hivyo anaona future nzuri huko mbeleni, unaweza ukadhani ana kupenda kisa amekukubalia kuwa na ww kwenye wakati mgumu kumbe amesha pima na kujua kabisa kuwa ndani ya miaka 5 utakuwa umetoboa kutokana na kasi yako ya upambanaji lakini hii ni kwawanawake wenye akili tu.
Mwana mke anaweza kuwa na ww hata kama hakupendi kwa sababu unakubali akupelekeshe na kukuendesha anavyo taka na hakuna kitu wanawake wanapenda kama kuwa na madaraka mbele ya mwanaume.
Mwanamke anaweza kuwa na ww kwa sababu ya muonekano wako na mkaoana kabisa na mkazaa watoto alafu akaja kuwatumia hao watoto kukutia adabu.
Yaani kiufupi ni ngumu sana kujua iwapo mwana mke anakupenda kweli au anakuigizia.
Na nakuhakikisha kuwa leo hii wakileta mtiani kwa wanaume wote kuwa kila mwanaume alete udhibitisho wa uaminifu wa mke wake wote tutaferi.
Kila kitu kina nafasi yake kwenye maisha ,nadhani bila ngono ww isinge kuwepo hapa duniani na wala hayo mafuta yasinge kuwa na maana yeyote kwasababu dunia ingekuwa haina watu wa kuyatumia hayo mafuta kwa hiyo acha ujuaji.Lita ya mafuta imefika efu 4 mmekaa tu mmetulia mnaduscuss ngono hahhaa safari ni ndefu
Sawa.Nimeoa ndugu yangu ila sasa ni kama tumeachana tu.
Huku dsm dizel nimeona ni 3140Lita ya mafuta imefika efu 4 mmekaa tu mmetulia mnaduscuss ngono hahhaa safari ni ndefu
Hawataki kuletewa watoto wasio wao..!!!Mbona team kataa ndoa ni
Wengi[emoji848][emoji848]