EX wife wako akikujibu hivi Baada ya majibu ya DNA. Utachukua uhamuzi gani?

Kuelezea ni ngumu maana ni complex sana. Na sababu ni kwamba wanawake hawafanani ila wana tabia moja tu.

Mwanamke anayekupenda utamjua wakati una shida au financial ruin. Asiyekupenda hatakuvumilia kwenye stage hiyo.
Mkuu mbona kuna watu wana ishi kwenye mahusiano zaidi ya miaka 6 kwenye shida na raha lakini wakifunga ndoa wana achana ndani ya miezi 6 tena kwa ishu ya usariti ?

Au umemuoa mpaka akazaa watoto wakakuwa kufikia hatua ya ww kugundua kuwa sio wa mwako ,ndani ya miaka yote hiyo unakuwa hujakubwa na changamoto au shida yeyote mbona ana kuwa haja kukimbia?
Tatizo nyinyi mnadhani mwanamke akijishikisha kwa mwanaume asiye mpenda basi mna jua ame fuata hela, mwana mke anaweza kuwa hakupendi lakini akajiegesha kwako kwa malengo yengine kabisa tofauti na pesa.

Acheni kuhalalisha upumbavu kwa visingizio visivyo kuwa na msingi.

Mwana mke yeyote anaye fanya uzinzi hali ya kuwa ana mume nyumbani ni malaya tu na mpumbavu ,usilete visingizio vya eti hampendi mme wake , kama kulikuwa na mwanaume anaye mpenda kuliko huyo mmewe kwa nn hakwenda kuolewa na huyo anaye mpenda kuna sababu gani ya kuolewa na mtu usiye mpenda?
 
Aisee ndo maana nikasema hapo mwanzoni, Iko complex sana.
 
Malengo gani? Status?
 
Yes sababu ya kuolewa na mtu usiyempenda kwa mwanamke viko vingi, ikiwemo uhakika wa maisha ya kwake na watoto wake na pia hamu ya kutaka kuolewa ikiwa agemates wake au marafiki zake wameolewa au mtaa anaokaa wengi wameolewa. Saikolojia yao ni ajabu sana na unexplainable. Wao wako emotional na visionary.

Mwanamke anakusaliti pale ambapo ameonana na mwanaume ambaye amefit criteria zake na amekuzidi wewe, ni bora kuliko wewe. Ila pia atakusaliti pale ambapo umeshindwa kufit kwenye viatu vya ex wake aliyempenda sana wakaachana, wanakua na liquidity void ambayo ukishindwa kuiziba itazibuka. Kumbuka wanawake wakipata wanaume huwa wanataka wapate wanaume ambaye anaweza kuringa popote kwa marafiki zake au hata kwa ex wake. It's on their brain.
 
Sihalalishi upumbavu kwasababu hata wanaume Malaya wapo.

Mwanamke ameumbwa kama msaidizi wa mwanaume. Na sheria za asili mara nyingi utakuwa kwenye mahusiano na mtu unayefanana naye. Kama mwanamke uliyemuoa ni Malaya, kuna probability kubwa na wewe ni Malaya pia ila uliamua kutulia ama unauendeleza pia.

Mwanaume aliyetulia atapata mwanamke aliyetulia pia maana atafanya vetting moja Kali sana.

Kwakuwa mwanamke ni binadamu maana yake mambo anayoyafanya hata wanaume wanayafanya kwasababu na wao ni binadamu, tunatofautiana kwenye homoni tu, ila hisia ni zilezile, mawazo yaleyale, Matendo yaleyale, na akili zilezile, tofauti yetu sisi na wao kwanza ni homoni zetu na viungo vyetu, zinatuandaa tuwe wanaume na wao zinawaandaa kuwa wanawake .

So when you judge , usijudge upande mmoja, angalia pande zote mbili.
 
Malengo gani? Status?
Mwanamke anaweza kuwa na ww hali ya kuwa hakupendi kwa sababu nyingi na sio za kifedha tu.

Anaweza kuwa kwako kwa sababu una nguvu nyingi za kiume hivyo akawa ana kutumia kama sextoy kwa ajili ya kutimiza haja za mwili wake.

Mwanamke anaweza kuwa hakupendi lakini akagundua ww ni mtafutaji na mpambanaji hivyo anaona future nzuri huko mbeleni, unaweza ukadhani ana kupenda kisa amekukubalia kuwa na ww kwenye wakati mgumu kumbe amesha pima na kujua kabisa kuwa ndani ya miaka 5 utakuwa umetoboa kutokana na kasi yako ya upambanaji lakini hii ni kwawanawake wenye akili tu.

Mwana mke anaweza kuwa na ww hata kama hakupendi kwa sababu unakubali akupelekeshe na kukuendesha anavyo taka na hakuna kitu wanawake wanapenda kama kuwa na madaraka mbele ya mwanaume.

Mwanamke anaweza kuwa na ww kwa sababu ya muonekano wako na mkaoana kabisa na mkazaa watoto alafu akaja kuwatumia hao watoto kukutia adabu.

Yaani kiufupi ni ngumu sana kujua iwapo mwana mke anakupenda kweli au anakuigizia.

Na nakuhakikisha kuwa leo hii wakileta mtiani kwa wanaume wote kuwa kila mwanaume alete udhibitisho wa uaminifu wa mke wake wote tutaferi.
 
Yes sababu ya kuolewa na mtu usiyempenda kwa mwanamke viko vingi, ikiwemo uhakika wa maisha ya kwake na watoto wake na pia hamu ya kutaka kuolewa ikiwa agemates wake au marafiki zake wameolewa au mtaa anaokaa wengi wameolewa. Saikolojia yao ni ajabu sana na unexplainable. Wao wako emotional na visionary.

Mwanamke anakusaliti pale ambapo ameonana na mwanaume ambaye amefit criteria zake na amekuzidi wewe, ni bora kuliko wewe. Ila pia atakusaliti pale ambapo umeshindwa kufit kwenye viatu vya ex wake aliyempenda sana wakaachana, wanakua na liquidity void ambayo ukishindwa kuiziba itazibuka. Kumbuka wanawake wakipata wanaume huwa wanataka wapate wanaume ambaye anaweza kuringa popote kwa marafiki zake au hata kwa ex wake. It's on their brain.
Uhakika wa kuishi kivipi kwani wanao bambikiziwa watoto ni matajiri peke yao?
Mbona wanawake wa masikini nndo wazinzi walio kubuhu?

Sasa kama walikuwa wanapendana na huyo ex wake kwa nn waliachana,kwann hawakuoana ili wafurahie maisha ?

Mpaka huyo mwanamke anakuja kukutana na huyo mwanaume wa kufiti madhaifu yangu huyo mke wangu amejuaje huo ufiti wa huyo mwanaume bila ya yeye kuwa malaya.
Kama akienda kufanya uzinzi na mwanaume mwingine kwa kisingizio cha kuwa na nguvu za kiume kumzidi mmewe, je ni sababu gani iliyo mfanya amvulie nguo huyo mwanaume mara ya kwanza kabla ya kugundua kuwa ana nguvu za kiume kumzidi mmewe? Maana walifanya uzinzi kwanza ndo kajua kuwa ana nguvu za kiume.

Kiufupi mwanamke malaya ahitaji sababu yeyote kukusariti siku pepo lake la umalaya likiamuka ataenda hata barabarani atafute mwanaume hata asiye mjua amlipe ili afanye naye uzinzi.

Narudia tena mkuu mwana mke malaya ahitaji sababu yeyote kukusariti.

Hakuna sababu yeyote inayo halalisha uzinzi iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke unesha olewa au umesha owa tulia ndani ya ndoa yako kwa sababu hakuna aliye warazimisha kuoana.
 
Mwanamke anaweza kuwa na ww hali ya kuwa hakupendi kwa sababu nyingi na sio za kifedha tu.

Anaweza kuwa kwako kwa sababu una nguvu nyingi za kiume hivyo akawa ana kutumia kama sextoy kwa ajili ya kutimiza haja za mwili wake.

Mwanamke anaweza kuwa hakupendi lakini akagundua ww ni mtafutaji na mpambanaji hivyo anaona future nzuri huko mbeleni, unaweza ukadhani ana kupenda kisa amekukubalia kuwa na ww kwenye wakati mgumu kumbe amesha pima na kujua kabisa kuwa ndani ya miaka 5 utakuwa umetoboa kutokana na kasi yako ya upambanaji lakini hii ni kwawanawake wenye akili tu.

Mwana mke anaweza kuwa na ww hata kama hakupendi kwa sababu unakubali akupelekeshe na kukuendesha anavyo taka na hakuna kitu wanawake wanapenda kama kuwa na madaraka mbele ya mwanaume.

Mwanamke anaweza kuwa na ww kwa sababu ya muonekano wako na mkaoana kabisa na mkazaa watoto alafu akaja kuwatumia hao watoto kukutia adabu.

Yaani kiufupi ni ngumu sana kujua iwapo mwana mke anakupenda kweli au anakuigizia.

Na nakuhakikisha kuwa leo hii wakileta mtiani kwa wanaume wote kuwa kila mwanaume alete udhibitisho wa uaminifu wa mke wake wote tutaferi.
Uko sahihi .
 
Lita ya mafuta imefika efu 4 mmekaa tu mmetulia mnaduscuss ngono hahhaa safari ni ndefu
 
Kila kitu kina nafasi yake kwenye maisha ,nadhani bila ngono ww isinge kuwepo hapa duniani na wala hayo mafuta yasinge kuwa na maana yeyote kwasababu dunia ingekuwa haina watu wa kuyatumia hayo mafuta kwa hiyo acha ujuaji.

Maxmelo hakuwa mjinga kuitengeneza jf kwa majukwaa mbali mbali kwa sababu alijua kila kitu kina nafasi yake katika maisha.
Kama unataka tujadili bei ya petroli peleka kwenye jukwaa husika tukajadili.
 
Inauma sana kuwa na mwanamke wa namna hiyo lakini hakuna namna zaidi ya kuachana nae kwa wema.

hao ni aina ya watu ambao unatamani siku zirudi nyuma ili usimpe nafasi ya kuingia kwenye maisha yako lakin hakuna namna inabidi ukaze Moyo
 
Kataa ndoa na kampeni zenu.
 
US kwe jimbo la Tennese wamepitisha sheria ya Partenity, watoto wote watakao zaliwa lazima wapimwe DNA na mtoto yoyote ambaye mama yake anamtuhumu mwanaume fulani ni baba yake kabla huyo mwanaume kutoa child support, lazima wapime DNA kwani imeonekana ktk vipimo vya DNA karibia asilimia sabini watoto sio wao.

Siku hizi watu wapo single kwenye maisha ya ndoa na wanaume wa siku hizi wamekataa zile kauli za "kitanda hakizai haram".

Ushauri kwa vijana ukiona unatumia nguvu(hela) sana kwenye mapenzi jua hupendwi.

Mfano siku hizi mademu wame wagroup wanaume, kuna anaye mnunulia bando,anaye mnunulia kila tolea la simu, anaye mlipia vikoba,anaye mlipia mchezo,anaye mtoa out na kumfanyia shopping nk hao wote anawapa K.

Bado kuna wale wanao kula kisela au kimasihala, then chuma kama hiko ndio unaingia nacho kwenye ndoa lazima upambikiwe mtoto,kwani hawala hana talaka ukimtaka unampata.
 
Back
Top Bottom