Nashukuru kwa maelezo mazuri mkuu nimekuelewa vizuriAsante sana ndugu "Coffee", inawezekana kabisa kulipia awamu mbili kwa kozi hiyo ya Basic Computer Knowledge.
Wiki ijayo kuna madarasa haya yanaanza;
1. saa 08:00 - 10:00
2.saa 12:00 -14:00
3.saa 18:00 - 20:00
Karibu sana, unaweza chagua muda wa darasa utakalo lipenda.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Asante na Karibu sana.
Jitahidini ,Asante ndugu, tutajitaidi kadri tuwezavyo.
asante ndugu "Safari_ni_Safari", program za asubuh zipo nyingi tuu kwa maana ofisi zetu zinafunguliwa kuanzia saa 11 asubuh mpaka saa tatu usiku.Hakuna program za asubuhi?
Asante sana ndugu, kwa sasa hatuna branch sehemu nyingine zaidi ya Dar. Huko huwa tunakuja kwa mahitaji ya watu binafsi. Panapo kheri mwakani twaweze fungua branch huko ndugu,Mkuu THE-COMPUTER-SKILLS Arusha mna branch?
Karibu sana ndugu "Aleyn" kuanzia mwanzo ni vizuri sana maana unapata mwangaza na msingi mzuri sana wa Excel. Kozi imegawanyika kama ifuatavyo;Mkuu, mimi nataka nianze kuanzia mwanzo kabisa wa Excel. Unanisaidiaje?
Tallymnafanyaje?Masomo pia kama Basic Computer Knowledge yanaendeshwa kila siku na yanadumu kwa wiki tano masaa mawili kwa siku.
Kwa garama ya Tshs.200,000/= hapa unapata kitabu kimoja na flash disk 4GB bure.
Karibuni sana
Asante sana ndugu "Katichi". kozi ya Tally ERP 9 inatolewa tena na wahasibu wabobezi hapa kwetu.Tallymnafanyaje?
Asante kwa kutuchagua sisi kuongeza ujuzi ndugu "cerengeti", ndiyo tunatoa training za Data analysis kama SPSS, STATA, EPI-INFO, R na nyinginezo.Mna fundisha spss?
Mkuu, hauna kitabu?Karibu sana ndugu "Aleyn" kuanzia mwanzo ni vizuri sana maana unapata mwangaza na msingi mzuri sana wa Excel. Kozi imegawanyika kama ifuatavyo;
1. Basic & Intermediate Excel for Professional
Hapa utajifunza yafuatayo kwa kifupi:
-Jinsi ya kuingiza data kwenye excel
-Kupanga mfumo wa aina gani za data ulizonazo
-Kufanya uchanganuzi wa data ( simple data manipulations (SImple IF Conditions,Nested IF ect)
-Kuchambua Data ( Simple Data Analysis, Sorting, Filter and arrangement of the data according to the need)
-Kutoa Mwelekeo wa data ( Simple report of the data, Charts, combo etc)
-Ulindaji wa data zako na uhakiki. ( Securty & Validation of Data)
Hayo ni kwa kifupi.
Muda: 10 hrs, 2hrs/day ( Siku tano)
Fees: Tshs. 200,000/=
Baada ya masomo utapewa cheti cha utakuwa tiari kufanya kazi zozote za kiwango hicho kwenye Excel bila wasiwasi wowote kabisa.
2. Advanced EXcel for Professional.
Hii ni wiki mbili, 20hrs/2hrs/day.
Fees: Tshs.350,000/=
Utapewa Colored Manual bure na miezi mitatu ya free consultation.
Kwa maelezo zaidi;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Karibu sana.
"Ongeza Ujuzi, onyesha thamani yako."