Karibu sana ndugu "Aleyn" kuanzia mwanzo ni vizuri sana maana unapata mwangaza na msingi mzuri sana wa Excel. Kozi imegawanyika kama ifuatavyo;
1.
Basic & Intermediate Excel for Professional
Hapa utajifunza yafuatayo kwa kifupi:
-Jinsi ya kuingiza data kwenye excel
-Kupanga mfumo wa aina gani za data ulizonazo
-Kufanya uchanganuzi wa data ( simple data manipulations (SImple IF Conditions,Nested IF ect)
-Kuchambua Data ( Simple Data Analysis, Sorting, Filter and arrangement of the data according to the need)
-Kutoa Mwelekeo wa data ( Simple report of the data, Charts, combo etc)
-Ulindaji wa data zako na uhakiki. ( Securty & Validation of Data)
Hayo ni kwa kifupi.
Muda:
10 hrs, 2hrs/day ( Siku tano)
Fees:
Tshs. 200,000/=
Baada ya masomo utapewa cheti cha utakuwa tiari kufanya kazi zozote za kiwango hicho kwenye Excel bila wasiwasi wowote kabisa.
2. Advanced EXcel for Professional.
Hii ni wiki mbili, 20hrs/2hrs/day.
Fees: Tshs.350,000/=
Utapewa Colored Manual bure na miezi mitatu ya free consultation.
Kwa maelezo zaidi;
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie:
training@comskills.co.tz
Karibu sana.
"Ongeza Ujuzi, onyesha thamani yako."