ComSkills
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 479
- 111
- Thread starter
- #61
Asante ndugu "NYANYADO" kwenye basic & intermediate excel tunafundisha hasa hasa simple data Manipulation na Analysis ambapo ndani yake waweza kupata vitu kama;The computer skills
Samahani mwisho wa excell ni wapi ?
Na nested vlookup mnafundisha beginner au advanced
-simple IF functions,LookUp Functions ( simple V,H lookup)
-Simple Combo Graph,Slice
Hivyo ni miongoni tuu.
Advance ina complex Manipulation na Complete Analysis & Report.
ambapo vitu kama
-Nested LookUP( VLook & HLook up)/ Double Vlookup,Index ,Choose & Match Functions, OFFSET
-Database Functions,Consolidate
-Sensitivity and Scenario Analysis
-Discounting on uneven periods functions; NPV,XNPV,IRR,XIRR
Hivyo ni miongoni tuu.
Excel limitation ni uelewa wako sema ina limitation ya kupokea data na mapungufu mengine wanayo endelea kufanyia kazi. sis tukimaliza hii advance huwa inafuata maitaji maalum kulingana na taaruma husika kwa mtu.
Mf. Excel for VBA-Developer.
Kwa maelezo zaidi twaweza wasiliana.
Call: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea:www.comskills.co.tz
Karibu sana