Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

The computer skills
Samahani mwisho wa excell ni wapi ?

Na nested vlookup mnafundisha beginner au advanced
Asante ndugu "NYANYADO" kwenye basic & intermediate excel tunafundisha hasa hasa simple data Manipulation na Analysis ambapo ndani yake waweza kupata vitu kama;
-simple IF functions,LookUp Functions ( simple V,H lookup)
-Simple Combo Graph,Slice
Hivyo ni miongoni tuu.

Advance ina complex Manipulation na Complete Analysis & Report.
ambapo vitu kama
-Nested LookUP( VLook & HLook up)/ Double Vlookup,Index ,Choose & Match Functions, OFFSET
-Database Functions,Consolidate
-Sensitivity and Scenario Analysis
-Discounting on uneven periods functions; NPV,XNPV,IRR,XIRR
Hivyo ni miongoni tuu.

Excel limitation ni uelewa wako sema ina limitation ya kupokea data na mapungufu mengine wanayo endelea kufanyia kazi. sis tukimaliza hii advance huwa inafuata maitaji maalum kulingana na taaruma husika kwa mtu.
Mf. Excel for VBA-Developer.
Kwa maelezo zaidi twaweza wasiliana.
Call: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea:www.comskills.co.tz
Karibu sana
 
Kwa wale wa mikoani tumewasikia na tunawajia ;
1.Mbeya
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mwanza.
Kama upo mikoa tajwa hapo juu, waweza anza kuziweka kidogo kidogo na kumshitua na mwanzako.mana si ya kukosa hii.Tupigie:0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana, tuongeze ujuzi na zidisha ufanisi
 
Njoo tukuuzie Tally.ERP9 softawre kwa bei.nafuu sana piaa training makini yenye wahasibu waliobobea kwenye fani hiyo......na kufahamu program ya Tally vizuri sana call.0714777211
 
Kwa wale wa mikoani tumewasikia na tunawajia ;
1.Mbeya
2.Arusha
3.Dodoma
4.Mwanza.
Kama upo mikoa tajwa hapo juu, waweza anza kuziweka kidogo kidogo na kumshitua na mwanzako.mana si ya kukosa hii.Tupigie:0717 718519 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz
Karibu sana, tuongeze ujuzi na zidisha ufanisi
 
The Computer Skills ( COmSkills) ni kampuni inayobobea na utoaji mafunzo na ushauri kwenye nyanja za IT & Financial System/Software. Tumeandaa kozi maalum kwa ajili ya vijana walio maliza kidato cha sita.Wakati ukingojea matokeo usikae tuu,njoo uongeze ujuzi utakao kuwezesha kukabiliana na changamoto zilizo mbele yako.
1. Basic Computer Knowledge.
Module:
- Introduction to IT & Windows
-Introduction to Microsoft Word 2013
-Introduction to Microsoft Excel 2013
-Introduction to Microsoft Power Point 2013
-Internet & Email
-Introduction to Clouds Computing [DropBox, Google Drive,OneDrive ,iCloud)
Muda: 10:00 - 12:00, 12:00 - 14:00 ( 2hrs/day kwa wiki tano)
Tr:22/05/2017 - 23/06/2017
Fees: Tsh. 200,000/= ( waweza lipa kidogo kidogo mpaka unamaliza)
Utapata: 1 kitabu, 8 GB flash Disk (kwa ajili ya mafunzo na mazoezi) BURE
Vyeti vinatolewa mara tu umalizapo mafunzo.

Ofisi: Zipo Makumbusho Bus Stand, Gorofa ya Pili.
Tupo wazi kuanzia saa 11 asubuhi - 3 usiku.
Tupigie: 0717 71 85 19, 0762 19 25 32 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz

Wateja 20 wa kwanza watapata discount ya 10%
Karibuni Sana.
 
Madarasa yetu ni endelevu, yanaanza kila wiki siku ya jumatatu na pia yapo ya wikiend pia.
Njoo uongeze ujuzi na uongeze ufanisi katika kazi zako.
Karibuni sana.
Piga: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi zipo Makumbusho Bus Stand gorofa ya pili.
 
Ila Kaka hiyo gharama ya kusoma Excell ni kubwa mno
Shukrani sana ndugu,kuhusu gharama tumeiangalia kwa mapana yake makubwa na kuvipa kipau mbele vitu vingi. Na kile unachokipata ni zaidi ya gharama tajwa.
Isitoshe sisi tunatoza bei kidogo sana kulinganisha na soko lilivyo.
Asante sana na karibu.
 
Tunakaribisha maombi na ulipaji ushaanza.
Karibuni sana.
 
18470707_1670942399584407_1004765611_n.jpg
 
sisi darasa la vii na tuliofukuzwa kazi sababu ya utata wa vyeti hatumo kwenye vipaumbele vyako mkuu. maana kidato cha 6 sio mchezo mchezo. ni nyanja nyingine hiyo katika elimu zetu
 
Introduction to IT and windows ,hapa ni sasa sawa na kusema Windows ni kozi au
1:Introduction to computer system
(a)Computer hardware
(b)Computer software
COMPUTER SOFTWARE
(a) System software- OS
Hapo ndio utasoma
1:Windows and its Components
 
sisi darasa la vii na tuliofukuzwa kazi sababu ya utata wa vyeti hatumo kwenye vipaumbele vyako mkuu. maana kidato cha 6 sio mchezo mchezo. ni nyanja nyingine hiyo katika elimu zetu
Asante sana, Hii kozi anasoma yeyote hata kama kamaliza darasa la saba au form four au kaishia la darasa la nne. Elimu ya komputer inatolewa kwa wote bila kutoa ubaguzi wa elimu zao.
Sema kipindi hiki wanafunzi wa kidato cha sita ndo wanamaliza ndo tukaona tulipe kichwa kitakacho vutia wengi.
Lakini tunakukaribisha kujiunga na kozi hii pia.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tembelea: www.comskills.co.tz

Karibuni sana.
 
Askari Muoga,
Asante sana mkuu, tunaposema IT & Windows ni kwamba; mwanafunzxi wetu tutamfundisha basic IT knowledge kwa upana wake. Na pia kwenye Windows anafundishwa simple functions za kuoperate windows.
Hivyo ulivyo weka hapo juu ni sehemu ndogo sana ya kozi ya IT.
Karibu sana ndugu.
 
Tunakaribisha maombi na ulipaji ushaanza.
Karibuni sana
 
Nitajuaje me ni miongoni mwa wateja 20 wa kwanza ili nipate discount...?
 
Nitajuaje me ni miongoni mwa wateja 20 wa kwanza ili nipate discount...?
Asante sana ndugu, waweza kuja hata leo maana nafasi bado hawajatimia hao 20.
Karibu sana,
tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
 
Madarasa yetu ni endelevu, yanaanza kila wiki siku ya jumatatu na pia yapo ya wikiend pia.
Njoo uongeze ujuzi na uongeze ufanisi katika kazi zako.
Karibuni sana.
Piga: 0717 718519 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
tembelea: www.comskills.co.tz
Ofisi zipo Makumbusho Bus Stand gorofa ya pili
 
Back
Top Bottom