Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

Exclusive: Diamond, Uwoya wanaswa hotelini

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,585
Reaction score
1,771
wikienda.jpg


Unaweza kukwepa matone ya mvua lakini siyo kamera za Global Publishers Ltd, zinapoamua kukufanyia kazi, ukibisha waulize Nasibu Abdul &[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];Diamond' na mke wa mtu, Irene Uwoya.

Diamond na Uwoya, walifanya jitihada za hali ya juu kuuficha ukweli kuhusu uhusiano wao lakini ilipofika Machi 25, mwaka huu, walinaswa na kamera za Global kwenye hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.

The Biggest IQ, Ijumaa Wikienda, linathubutu kwa kuwa lina ushahidi wa kutosha kutamka kwamba Diamond na Uwoya, walilala kwenye hoteli hiyo, chumba namba 208, waliingia saa 8:24 usiku kisha wakatoka kati ya saa 9:00 na saa 9:13 mchana.
=========

heaven on desert hapa unasemaje mkuu... Bwana mdogo ashaanza kula mke ya mtu?
 
hii habari kumbe nayo ni mpya...au ulikosekana ushaidi!!!
 
hapana lazma watakuwa walikuwa location wanashoot moviie mpya baada ya ile ya kwanza na penny kuisha....
 
Wnatafunwaje sasa, kama bablishi vile, sijui hata mnaangalianaje nyie wanawake wote mnaotafunwa humo kwa humo? diamond kula vitu mwaya, mama rwakatare anasema if you can get free milk why keep a cow?eti wale diamond aliowabakisha bongo movie ni wale wenye sura za kutafuta kwa tochi hehehe shigongo bwana.

N a uwoya nae anaboa tu, amejinenepea ovyo kama litembo, bwana amemshinda kutwa kuuza punani mjini hadi itaota sugu sasa. Basi omba talaka tujue moja.
 
Sasa what happened to my baby mamma blah blah. Yule mrembo wa diamond sijui anaitwa nani mwenye kazi ya kufotolewa foto na mama mkwe mtarajiwa aliishia wapi? Hawa bwan hata holywood hawawawezi kwa vibweka uchwara. Ajenge msikiti ajiwekee amana peponi yeshe!
 
jamaa anakula vitu laini tatizo mke wa mtu... Mke wa mtu sumu sijui jamaa alikunywa maziwa baada ya hapo
 
upuuzi mtupu, kichefu chefuuuuuuu!
 
who the hell is uwoya=a woman (prostitute/oncubine?=not sure)
Who the hell is Diamond=a man (prostitute?=not sure)

what is so special for them to meet and commit adultory=none.

waaheni wabadilishane tu virus.
 
Kinachoniacha hoi kwenye mtiririko wa habari picha ya kwenye cover la gazeti ni kuwa walianza vizuri kuwa diamond anaingia kwa hotel akiwa kavaa tshirt white ila kaingia mapokezi tu analipia chumba no208 akiwa kavaa singland white, kuna hoteli wanaanzA kuvulia nguo reception??? Au Rwakatare style
 
Kinachoniacha hoi kwenye mtiririko wa habari picha ya kwenye cover la gazeti ni kuwa walianza vizuri kuwa diamond anaingia kwa hotel akiwa kavaa tshirt white ila kaingia mapokezi tu analipia chumba no208 akiwa kavaa singland white, kuna hoteli wanaanzA kuvulia nguo reception??? Au Rwakatare style

Hahaaaaaa....
 
Mh af hapo ukimwi ndo utaisha?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Asali ya warembo watafune tu.

Si umesema mwenyewe kwenye wimbo wako mpya kuwa "kazi na dawa"!

Nina swali moja tu kwa kinadada, Diamond Platnumz sasa hivi kawamaliza madada wote wa mjini (wenye mvuto), anawadanganya kwa kipi kati ya haya?

1. Umaarufu
2. Pesa
3. Performance (stejini)
4. Au kina dada wanashindana ili na wenyewe waonekane wametembea na "A star of the moment"?
 
hata kama ni mimi uwoya akileta mbunye yake nagonga tena pekuu....viva diamond...bado bi kidude
 
[h=3][/h]

IRENE+UWOYA.bmp


Diamond na Uwoya, walifanya jitihada za hali ya juu kuuficha ukweli kuhusu uhusiano wao lakini ilipofika Machi 25, mwaka huu, walinaswa kwenye hoteli moja yenye hadhi ya nyota tano, iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Ijumaa lina ushahidi wa kutosha kutamka kwamba Diamond na Uwoya, walilala kwenye hoteli hiyo, chumba namba 208, waliingia saa 8:24 usiku kisha wakatoka kati ya saa 9:00 na saa 9:13 mchana.


UWOYA.bmp

Hii ni skendo inayoweza kuweka rekodi ya kukaa kwenye vichwa vya watu kwa muda mrefu ujao, kwani Uwoya siyo tu kwamba ni mke wa mtu, bali pia ni juzijuzi tu alijidai amesahihisha makosa yake kisha akathibitisha kurudiana na mume wake, Hamad Ndikumana ‘Kataut', baada ya kutengana kwa kitambo kirefu kidogo.
DIAMOND3.PNG

Skendo hiyo, inakuja na picha yenye mshtuko mkubwa kuhusu Diamond ‘Sukari ya Warembo', kwani baada ya kumpitia Uwoya, ni dhahiri kwamba ndani ya Klabu ya Bongo Movie amebakiza wa kuhesabu, tena ni wale ambao mvuto wao ni wa kumulika kwa tochi, vinginevyo, vinara wote ameshadondoka nao dhambini.

Kwa kuanzia na Jacqueline Wolper, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunt Ezekiel, Uwoya ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unit pamoja na warembo wengine kibao, ni wazi sasa mtandao wa ngono wa Diamond, unagusa karibu asilimia 97 ya mastaa wote wa filamu na muziki nchini...
 
Dah na mimi nilikuwa nasubiria amgonge huyo tu nimvike taji la mfalme wa nyapu za warembo tz.Sasa sijui kambakiza nani,SHILOLE bado?Au na yeye ana sura ya kutafuta na tochi?ROSE NDAUKA nadhan naye mkali i think is the next...
 
Dah na mimi nilikuwa nasubiria amgonge huyo tu nimvike taji la mfalme wa nyapu za warembo tz.Sasa sijui kambakiza nani,SHILOLE bado?Au na yeye ana sura ya kutafuta na tochi?ROSE NDAUKA nadhan naye mkali i think is the next...

shilole hamna kitu hata wewe ukikaza unajipigia!hadi kijeba mrisho ngassa anapiga utashindwa wewe mpwa?
 
Back
Top Bottom