wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Wamejitahidi ila mambo yafuatayo yanatakiwa kurekebishwa: Madaraka ya raisi, Kinga ya raisi,suala la umiliki wa ardhi bado halijafafanuliwa vizuri,Namna rasilimali zinavyoweza kuwanufaisha wananchi moja kwa moja,Mwanzo mzuri Warioba.
:yell:Habari zenu wanajamii.
naomba aliye na soft copy ya rasimu ya katiba mpya aitume hapa kwenye jukwaa ili nami niiipate niweze kuipitia kama wantanzania wengine .
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada huo.Nimeingia kwenye website yao sijaipata.
Asanteni.

Asante...Soma na jipatie Rasimu ya Katiba aliyotangaza jana Mzee Warioba hapa.